BODI YA FILAMU WATUA MORO KLINIKI YA FILAMU.

???????????????????????KLINIKI ya Filamu ni mradi maalum kwa ajili ya kujenga weledi katika tasnia ya filamu Swahilihood, mradi huo unazinduliwa rasmi Mkoani Morogoro huku Bodi ya Filamu na michezo ya kuigiza chini ya Katibu mtendaji mama Joyce Fisso wakitoa sapoti kwa zaidi ya wasanii 306 kutoka Morogoro.
(more…)

filed under: Habari

NINA KAZI KUBWA KULINDA HESHIMA YANGU- NISHA

Nisha Salma Jabu - Cut 531MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu na Komedi Salma Jabu ‘Nisha’ amedai kuwa ana kazi kubwa katika kulinda nafasi yake ya uigizaji bora wa Komedi na ustadi katika kutengeneza kazi zake na ziendelee kuwa bora ili asipotee na kuonekana kama alibahatisha.
(more…)

filed under: Habari

VENGU MZIMA HAJAFARIKI- JOTI

vengu Cut 533UVUMI uliozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi Joseph Shamba ‘Vengu’ kuwa amefariki hazina ukweli wowote na zimeleta usumbufu kwa ndugu na jamaa wa msanii huyo ambaye ni mzima wa afya akiwa yupo kwake, amedhibitisha msanii mwezake Joti.
(more…)

filed under: Habari

KINACHOUA WASANII KUVIMBA KICHWA- ONYANGO

Onyango- CutISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.
(more…)

filed under: Habari

MARRY ALIA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE

???????????????????????MSANII chipukizi wa filamu Swahilihood Marry Elias amewalalamikia baadhi ya watengeneza filamu kwa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wasanii chipukizi kwa kuwaomba rushwa ya ngono, msanii huyo anasema kuwa wasanii wasio majina ambao wanapofika katika usahili wa filamu ukwama hadi watoe rushwa ya ngono.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU KUBWA YA C.P.U INAKIMBIZA MTAANI

Cpu Poster 535FILAMU kubw aya C.P.U Kitengo cha Kutetea Watoto imetoka na kusambazwa nchi nzima baada ya kufanya vizuri katika majumba ya kuonyeshea sinema, sinema hiyo kubwa kutengenezwa na watayarishaji wazawa Swahilihood inapatikana katika Dvd.
(more…)

filed under: Habari

KABUTI MNG’ARISHAJI WASANII BONGO

kabuti o cut 531KABUTI Onyango si jina geni katika tasnia ya filamu kama upon a mfuatiliaji wa mambo ya movie Swahilihood unamjua na unamkubali sana zaidi ya sana kama mpiga picha jongefu bora Bongo bila shaka ana kitu muhimu na cha ziada ambacho ni muhimu sana.
(more…)

filed under: Habari

MIMI SI MSANII WA MLIPUKO- RAY

vincent kigosi cut 534MWIGIZAJI Nyota na muongozaji wa filamu mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Vincent Kigosi ‘Ray the Greatest’ amefunguka kwa kusema kuwa sinema zake si kuangalia filamu gani imeingia sokoni na kufanya vizuri kwa staili fulani na yeye akakurupuka na kutengeneza filamu kwa mlipuko.
(more…)

filed under: Habari

KAZI INAENDELEA LONDON- ESHA BUHETI

Eshe Buheti cut 532MWIGIZAJI Bora wa kike kwa mwaka 2014/2015 Swahilihood Esha Buheti yupo nchini Uingereza akirekodi filamu huko iliyoandaliwa na Didas Fashion ya huko inayomilikiwa na mtanzania anayeishi huko, Eshe yupo na wasanii wengine .
(more…)

filed under: Habari

SIPO TAYARI KUTUMIKA NA WAFANYABIASHARA- WOLPER

Jack Wolper

Jack Wolper mwigizaji wa filamu Swahillihood.

JAQUELINE Wolper ‘Wolper’ amefunguka kuwa anajua thamani yake kama msanii hivyo hawezi kutumika na wafanyabiashara kwa kuwatangazia biashara zao bila kuwa na mikataba ya kueleweka au mtu kumfanyia maamuzi pasipokuwa na makubaliano na kufikia mwafaka kuhusu hilo.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook