Your are here: Home // Habari // TAMTHILIA YA LEO KUTOKA KWA KILOMAN KUTIKISA SWAHILIHOOD!

TAMTHILIA YA LEO KUTOKA KWA KILOMAN KUTIKISA SWAHILIHOOD!

Kiloman Kilolo

Kiloman akiwa na Niva LOcation

ILE Tamthilia kali nay a kusisimua kutoka kwa Mtayarishaji na muongozaji mahiri wa Filamu Swahilihood Kiloman Kilolo inatarajia kutikisa Bongo baada ya kufanywa kimataifa na kuwashirikisha wasanii nyota na wanaofanya vema katika tasnia ya filamu Bongo.

Kiloman Kilolo na Zubery

Kiloman akiwa na msanii mwingine Niva

Bad Boy

Bad Boy akiwa katulia akirekodiwa katika amthilia ya LEO

Kojack

Kojack akiwa anaogea na simu

Kojack

Kojack akiwa na mwigizaji mwenzake katika moja ya scene.

Kiloman akiongea na FC amesema kuwa kazi hiyo imeandaliwa kitaalam kwa ajili ya kuwapa watazamaji kitu cha kufurahisha na kuelimisha jamii ili waweze kupambana na ushindani wa kazi nyingine kutoka kwa watengenezaji wengine wenye ushindani.

“Leo ni Tamthilia nzuri sana kwani inajaribu kuongelea mambo mengi yanayotokea katika maisha yetu ya kila siku ndio maana hata jina la kazi yenyewe inatwa Leo kila mtu akiambiwa hivyo lazima ajenge taswira,”anasema Kilo Man.

Katika tamthilia hiyo utakutana na waigizaji nyota kama Kojack Chilo, ,Deogratius Shija,Bad boy, Bi. Zabibu, Mamumtei, Rehema Benedict,Rahma Ruby, Shegy na wengineo kibao wanaochipukia na kufanya vizuri kaa tayari soon kupitia FC yaani hapa hapa utajulishwa itaonyeshwa katika Runinga gani?.

filed under: Habari

1 response to "TAMTHILIA YA LEO KUTOKA KWA KILOMAN KUTIKISA SWAHILIHOOD!"

  1. LEO ni tamthilia kali sana , inasisimua, inaelimisha nakuburudisha pia

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook