Your are here: Home // Habari // NAPENDA MWANAUME MWENYE MKWANJA TU -AISHA!

NAPENDA MWANAUME MWENYE MKWANJA TU -AISHA!

Rachel Bitulo

Rachel Bitulo mwigizaji wa filamu Swahilihood

MSANII wa kike wa filamu Bongo Rachel Bitulo amejiachia kwa kunena lake la moyoni kuwa anampenda mwanaume mwenye fedha nyingi na si mwanaume asiye na pesa kwani yeye kama mwigizaji nyota ana mahitaji mengi ambayo anataka kutimiziwa kutoka kwa mtu atakayekuwa mumewe.

Rachel Bitulo

Rachel katika pozi la picha

Rachel Bitulo

Rachel katika pozi la picha .

Rachel Bitulo

Mwigizaji wa filamu Swahilihood Rachel katika pozi.

“Nataka mwanaume mwenye mkwanja kwani mara nyingi kuwa na mwanaume tena mtu mzima ni kupoteza muda wako bora akiwa na pesa hata akikupiga chini hautajutia utakuwa ushavuta chako,”alisema Rachel.

Rachel anasema sababu ya wasanii wa kike wakiwa na fedha wanapenda vijana wadogo (Serengeti boys) kwani wanaweza kuwamiliki na wanajitoa sana kwao kuliko wanaume ambao wanakuwa na familia zao wakichoka mapenzi urudi katika familia zao au kupata dogo dogo wengine.

Huku akisema kuwa wasichana nyota wanapenda Serengeti boy kwa sababu wanajua kuwalizisha kwa kila nyanya kwani wanaume watu wazima wanatumia fedha zao kuwatafuta wanawake wengine kwa ajili ya fedha zao.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook