Your are here: Home // Habari // IRENE UWOYA AFUTURISHA KISTAA FUTARI DRAFT LAKE SI MCHEZO!

IRENE UWOYA AFUTURISHA KISTAA FUTARI DRAFT LAKE SI MCHEZO!

Irene Uwoya, Idrisa Makupa

Idrisa akiwa na Irene Uwoya wasanii wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu wiki iliyopita aliwakaribisha mastaa wa Bongo movie na Bongo fleva katika futari nyumbani kwake chungu cha 28 na kujumuika nao pamoja katika futari hiyo ya kiwango ambayo imefurahiwa na wageni waalikwa ambao ni wasanii wenzake.

Ally Yakuti

Ally Yakuti mwandishi wa Script Swahilihood.

Chiki Mchoma

Mc Chiki akichukua chai katika futari kwa Irine Uwoya

Idrisa makupa , Irene Uwoya

Makupa akiwa na Irene uwoya .

Irene Uwoya

Irene akiwahudumia wageni katika futari nyumbani kwake

Mtitu William

Wageni wakiwa kwenye futari

Mike sangu, Jacob Stephen

Mike Sangu akiwa na JB

Mayasa Mrisho

Mama Lolaa na Maya kwenye futari kwa Irene Uwoya

???????????????????????

???????????????????????

???????????????????????Akiongea na FC MC wa shughuli hiyo mwigizaji nyota naye Chiki Mchoma alisema kuwa Irene Uwoya amefanya kitu cha kujipatia Baraka kutoka kwa Mungu kwani tukio alilofanya ni moja kati ya ibada muhimu sana kwa waislamu na sadaka wanaofuturisha kwa wengine.

“Kwa niaba ya wanafamilia ninapenda kuwashukru wasanii wenzetu na marafiki zetu kwa kuja kushiriki nasi katika tukio hili muhimu tukiwa tupo kumalizia au kuuaga mwezi mtukufu,”alisema Chiki.

Wasanii nyota wengi walikuwepo na wamemshukru sana Irene kwa tukio hilo la Baraka Dua ilisomwa na Ustadh Ally Yakuti mwalimu mahiri katika masuala ya Dini ya kiislamu na mwandishi maarufu wa mswada wa filamu Swahilihood, pia alikuwepo Richie, Jacob Stephen.

Wengine ni William Mtitu , Baba James, Chikoka, Idrisa Makupa ‘Kupa’, Kulwa Kikumba ‘Dude’ Maya, Davina, Dogo Janja, Saguda, Dulla Makabila, Sajenti na wengine wengi futari yake ilikuwa si ya kitoto ilisheni kila kitu muhimu hongera yake kwa kuwakumbuka rafiki na kujumuika pamoja.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook