Your are here: Home // Habari // SITAKI STORY NA WANAUME NI KAZI TU- LINAH

SITAKI STORY NA WANAUME NI KAZI TU- LINAH

Khadij Said

Linah mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Khadija Said ‘Linah’ anasema kuwa kulingana na muonekano wake hababaiki tena na wanaume kwani mara nyingi nyimbo zao ni zile zile hakuna kitu kipya hivyo hataki kabisa habari na wanaume, mwanaume wake ni kuigiza tu.

Khadija Said

Linah katika pozi

Linah Said

Lina akiwa katika pozi la picha

Lina said

Lina akiwa katika kazi zake za filamu

“Maneno yao nimeshayazoea najua wanatamani tu umbo langu hakuna lolote sitaki stori na wanaume ni wababaishaji bora kuiheshimu kazi yangu ambayo inafanya wananiona na kunitamani,”alisema Linah.

Linah ambaye anajiamini na kujiachia anatamba na tamthilia ya michakato akitumia jina Mega anasema kuwa ni lazima msanii mwenye ujiongeze kwa kujua kuwa watu kuna wakati wakimuona katika Runinga uwekeana dau kwa ajili ya kumtokea lakini kwa sababu anawajua hawatafanikiwa.

Linah anajivunia tamthilia ya Michakato inayorushwa Clouds tv huku akikutana na wakongwe katika tasnia na kuigiza kwa ustadi mkubwa kabisa.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook