Your are here: Home // Habari // SIJAMPIGA DONGO WOLPER AKU RAHA YA SERENGETI NAIJUA MIMI- NISHA

SIJAMPIGA DONGO WOLPER AKU RAHA YA SERENGETI NAIJUA MIMI- NISHA

Salma Jabu

Nisha muiogizaji wa filamu swahilihood.

src=”http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/Nisha-2-CUT.jpg” alt=”Salma Jabu” width=”532″ height=”236″ class=”size-full wp-image-8564″ /> Nisha muiogizaji wa filamu swahilihood.[/caption]NYOTA wa filamu Bongo Salma Jabu ‘Nisha’ amesikitishwa na baadhi ya watu ambao wanajaribu kumtengenezea ugomvi na msanii mwezake wa kike Jack Wolper kwa kutafsiri ujumbe wake alioposti katika ukurasa wake kama ilikuwa ni dongo akimpiga msanii mwezake.

harmonaize, Jack Wolper

Wolper akiwa na Hamornaze

Jack Wolper

Jack muigizaji wa filamu

Salma Jabu

Nisha katika pozi

Salma Jabu

Nisha akiwa katika pozi

“Jamani sipendi kinachoendelea mimi siwezi kumuingilia Wolper awe na nani, na asiwe na naye, kingine raha ya Serengeti naijua mimi sasa hivi nimestaafu tu na kuiacha mbuga mapenzi yana siri nzito,”alisema Nisha.

Nisha alisisitiza kuwa yeye hakumpiga mtu dongo bali ana haki na uhuru wa kuposti chochote katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii kama wafanyavyo wengine, kwani kufanya hivyo kunaweza kujenga chuki kati yao bila ukweli wowote bali ni tafsiri tu ya watu.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook