Your are here: Home // Habari // LULU KWA PAMBA KALI HAWEZEKANI

LULU KWA PAMBA KALI HAWEZEKANI

Elizabeth Michael

Lulu muigizaji wa filamu Bongo

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda sana kuvaa na kutoka katika hafla za kisupasta anapenda kupenda katika mitoko yake si lazima iwe katika filamu bali anapenda sana kupendeza akiwa katika sherehe kubwa akiingia sehemu akiwa tofauti ndio furaha.

Elizabeth Michael

Lulu muigizaji wa filamu Tanzania

Elizabeth Michael

Lulu akiwa katika pozi la picha

“Mimi ninapenda sana kupendeza kila wiki kama nitatoka na kuwa sehemu iliyopendeza na nguo za kipekee kuna wakati nawatania rafiki zangu nikiwaambia waandae tu shughuli nije niwafunike kwa pamba kali,”alisema Lulu.

Lulu muigizaji mahiri katika tasnia ya filamu anasema kuwa mara nyingi akiwa na nguo bila kujali gharama ikibidi kuibadilisha ili iwe kama anavyoipenda lazima itakuwa hivyo hivi karibuni aliweza kufanya make up na kubadilika kabisa na kurandana na mwanamuziki Rihanna.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook