Your are here: Home // Habari // NITAFIKA MBALI KIFILAMU- PRETTY MAIKACHU

NITAFIKA MBALI KIFILAMU- PRETTY MAIKACHU

Mariam Rashid

Mai kachu muigizaji wa filamu Bongo.

MUIGIZAJI wa filamu Bongo wa kike Mariam Salum ‘Pretty Maikachu’ amejigamba kuwa zaidi ya wasanii wa kike hata wakongwe katika kujiweka vema kwa kuwa mtayarishaji mkubwa wa filamu kulingana na mipango aliyojiwekea kwa siku za baadae kwani kwa sasa watayarishaji wa kike ni wachache.

Mariam Kachu

Mai akiwa katika pozi

Mai akiwa katika pozi

Mai akiwa katika pozi

Mariam Kachu

Mai Kachu katika pozi la picha

“Bongo kuna watayarishaji wengi lakini siku zote ni wanaume lakini sisi akina dada ni wachache hiyo inatufanya tushindwe kuwakilisha mawazo yetu nitahakikisha ninalifanya kimataifa,”alisema Mai.

Msanii huyo anaamini kuwa kama atakuwa mtayarishaji ataweza kuondoa ubaguzi ambao umekuwa ni changamoto kwao kwani inawafanya wakose ujasiri katika uwakilishi wa uhusika katika nafasi wanazopewa kwani kuzipata ni ngumu hadi utoe kitu.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook