Your are here: Home // Habari // BILA KUJIONGEZA MSANII UNAKUFA -MC KENYATTA

BILA KUJIONGEZA MSANII UNAKUFA -MC KENYATTA

Abdukarim Kenyatta

Mc Kenyatta muigizaji wa filamu Swahilihhod.

Tunapigana na Hali zetu
MUIGIZAJI na mchekeshaji mkongwe Bongo Abdulkarim Kenyatta ‘Mc Kenyatta’ amesema kuwa maisha ya sanaa yametawaliwa na mikasa mingi sana kwani walipokuwa katika kundi la Kaole Sanaa Group walifaidika na umaarufu tu lakini si fedha hivyo kujiongeza kwa kutumia umaarufu kupata pesa.

Abdukarim Kenyatta

Mc Kenyatta akiwa kazini katika moja ya sherehe

Abdulkarim Kenyatta

Mc Kenyatta akiwa katika scene mojawapo na waigizaji wenzake

Abdulkarim Kenyatta

Mc Kenyatta katika pozi la Picha

“Bila kujiongeza msanii unakufa njaa na familia inapotezana maisha ya filamu na sanaa kwa ujumla yake ni magumu sisi tuliona hilo tulijiongeza na kufanya shughuli zetu, bila umc tungekimbia Bongo,”alisema

Mc Kenyatta anasema kuwa filamu inalipa kwa watu wachache sana kuliko idadi kubwa ya wasanii wote wa filamu kwa msanii makini na mwenye familia inampasa kufanya kazi nyingine ndio ataigiza vizuri lazima kujiongeza .Kenyatta msanii mwenye vituko wengi umwita Michael Jackson katika shughuli za Ushereheshaji (MC).

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook