Your are here: Home // Habari // KUIGIZA NA MASTAA BONGO MOVIE NI ISSUE- FINA

KUIGIZA NA MASTAA BONGO MOVIE NI ISSUE- FINA

Sarafina joseph

Fina Muigizaji wa filamu Swahilihood

SARAFINA Joseph ‘Fina’ mwigizaji wa filamu Bongo amefunga kuwa kutokana na changamoto zinazojitokeza katika tasnia ya filamu ushiriki ni mgumu sana na wasanii wanatumika vibaya kukiwa na rushwa za ngono lakini wengi hawapati mikataba minzuri kwani hawana elimu hiyo.

Sarafina Joseph

Fina mwigizaji wa filamu kutoka Swahilihood

Sarafina Joseph

Fina akiwa katika pozi kwenye kochi

Sarafina Joseph

Fina msanii wa filamu akiwa katika poz matata la picha

“Sanaa ni ngumu sana unateseka na unachopata hakiendani na jasho lako, nimesimama kwanza nafanya kazi katika kampuni ya mawakili najifunza kuhusu sheria za mikataba zinasemaje,”alisema Fina

Msanii huyo anadai kuwa yeye kuigiza na wasanii wakubwa haikuwa rahisi changamoto zilikuwa nyingi sana anaamini kundi la wasanii chipukizi wanakumbana na hayo sasa atakuwa msaada kwao wasiigize kwa ajili ya kuuza sura tu wakati wanategemewa na familia zao.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook