Your are here: Home // Habari // MAMA NI KILA KITU KWANGU- RIYAMA ALI

MAMA NI KILA KITU KWANGU- RIYAMA ALI

Riyama Ali

Riyama ali muigizaji wa filamu Swahilihood

MUIGIZAJI wa filamu wa kike Bongo Riyama Ali anasema kuwa mama yake ni ndio kila kitu katika maisha yake na hata mwanaye anamulelea kwa kumfundisha kuheshimu wazazi, huku akijaribu kumpa miongozo bora kama mzazi anayependa familia yenye malezi bora kwa watoto na jamii nzima kwa ujumla wake.

Riyama akiwa katika pozi la picha

Riyama akiwa katika pozi la picha

Riyama Ali

riyama akiwa katika pozi la picha

Riyama Ali

Riama Alli

“Wapo baadhi ya wanadamu ambao hutamani wafanane na wao labda kama wamekuwa watu maarufu au kuwa wanaosifiwa kama wazuri lakini kwangu Mama ni kila kitu hata kama angekuwa kichaa ningempenda tu,”alisema Riyama.

Riyama anasema kuwa mama anapitia changamoto nyingi kuliko hata baba kama mwanamke angekuwa na roho ya kukata tamaa basi jamii ingekuwa imejaa watoto waishi katika mazingira magumu hivyo haina maana kama mama yako ana muonekano mbaya ndio asiwe mzazi wako hizo anaona ni tabia za kitumwa.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook