Your are here: Home // Habari // DIANA KIMARO HATAKI KUWA CELEBRATE!

DIANA KIMARO HATAKI KUWA CELEBRATE!

Diana kimaro

Diana kimaro muigizaji wa filamu Swahilihood.

MOJA ya changamoto ya kubwa inayowakabili baadhi ya wasanii wa filamu ni kushindwa kuwa na mfumo unaoendana na nafasi zao, wengi hata kupata wasifu wao ni tatizo, Diana Kimaro muigizaji ambaye alikuwa rafiki na Lulu anasema kuwa kwa sasa hayupo tayari kufanya mahojiano kuhusu maisha yake binafsi.

Diana kimaro

Diana katika pozi

Diana Kimaro

Diana katika ubora wake

“Sitaki kufanya interview kwa sababu sitaki kuwa Celebrate mimi si mtu wa hivyo na sipendi kuandikwa andikwa kama wengine kwa sababu muda mwingi nipo busy na kazi zangu, hata sasa naongea na wewe kwa heshima tu,”alisema Diana.

Pamoja na kusema hivyo lakini mwenyewe anasema kuwa ana meneja ambaye anamwamru kuwa aweze kuhojiwa na vyombo vya habari au asifanye hivyo kwani hana mamlaka hadi uongozi wake umruhusu, Diana alijizolea umaarufu akiigiza na Lulu katika filamu ya Family Disaster na nyinginezo.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook