Your are here: Home // Habari // FILAMU YA TATU CHAFU KURUKA DAR LIVE MBAGALA DECEMBER 2017

FILAMU YA TATU CHAFU KURUKA DAR LIVE MBAGALA DECEMBER 2017

Tatu Chafu film

Filamu ya Tatu chafu Swahilihood

TUNAFUNGA mwaka kwa kuangalia sinema kubwa ya Tatu Chafu tena kitaani kwetu ni tarehe 16. December. 2017 premiere hiyo itaruka katika ukumbi wa Dar Live eneo maarufu kwa masuala ya burudani kwa Wilaya ya Temeke ni fursa kwa wadau na wapenda sinema kuangalia kazi iliyotengenezwa kwa ubora wa kipekee.

Tatu chafuilm f

Filamu ya Tatu chafu Swahilihood.

Meya shabani

Meya mshirika wa filamu ya Tatu chafu

Juma Nkwabi, Mzee Mwabi

Mzee Mkwabi akiwa katika picha na na Nkwabi Juma wote ni tatu chafu

Paul Mashauri, Bicco mathew

Kutoka kushoto Rama katikati ni Paul Mashauri na Bicco katibu wa Taff

Akiongea na FC mkurugenzi wa Bongohoodz Paul Mashauri amesema kuwa sinema ya Tatu chafu inazindua safari kwa ajili ya kuwafikia wapenzi wa filamu kwa nchi nzima sinema itaonyeshwa na kuambatana na burudani mbalimbali lengo ikiwa inafika mbali zaidi na kuweka gharama kidogo ili kila mpenzi wa filamu alipo.

“Katika filamu kuna fedha nyingi sana iwapo hatutangalia njia moja tu ya ukusanyaji kwa maana ya kuuza Dvd tu, ndio sisi tumeona tuendeshe njia hii ya kufanya matamasha kwa nchi nzima tutafanya matamasha kama fiesta,”alisema Mashauri.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook