Your are here: Home // Habari // SINEMANI KUKUFIKIA ULIPO SASA KUZINDULIWA DECEMBER 8 MWAKA HUU!

SINEMANI KUKUFIKIA ULIPO SASA KUZINDULIWA DECEMBER 8 MWAKA HUU!

Sinemani Drive inn

tamasha kubwa la Sinemani Biafra Kinondoni

KAMPUNI ya Production X kwa kushirikiana na Filamucentral.co.tz imetambulisha njia mbadala kwa ajili ya mpenzi wa filamu kuweza kuangalia sinema anapoishi na kufurahia uhondo ambao unakosekana kupitia filamu za Kibongo ambzao zinaonyesha kupendwa sana lakini pengeni changamoto kuziona katika ubora unaovutia zaidi.

Sinemani

Hapo ni Tukuyu onyesho la kwanza kuruka kutoka Sinemani

sinemani

Filamu ya Ni noma Sinemani

Sinemani 2017

Filamu ya T- Junction

Sinemani 2017

sinemani Biafra

Akiongea na FC afisa mmoja wa Production X amesema kuwa mradi unaojulikana kwa jina la SINEMANI ndio itakuwa suruhu na kipimo cha kazi bora kwa watengenezaji kwani filamu bora zitaonyeshwa kupitia boti kubwa na kurudisha utamaduni wa watu kuangalia sinema katika majumba ya sinema lakini kwa kutumia Video centet zilizopo mtaani.

“Sinemani ni njia rahisi na rafiki kwa mpenzi wa filamu nchini kwani ataweza kuangalia filamu sehemu safi, huku akiangalia sinema katika boti kubwa na sauti ya kupendeza kula pop corn Juice kama Mlimani vile,”alisema Afisa huyo.

Sinemani inatarajiwa kuzinduliwa rasmi jijini Dar es salaam katika viwanja vya Biafra tarehe 8. December .2017 kuanzia saa kumi na mbili jioni ambapo wasanii na watu maarufu watakuwepo katika tamasha hilo la kimataifa linalofungua njia mpya ya usambazaji wa kisasa kabisa, kila mtaa wataweza kuangalia filamu mpya na bora.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook