Your are here: Home // Habari // SHAMSA FORD BADO MREMBO!

SHAMSA FORD BADO MREMBO!

shamsa Ford

Shamsa Ford muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa filamu Bongo movie Shamsa Ford katoa mpya pale aliposema kuwa bado yu ngali kijana kwani akijiangalia uso wake bado na sura yake ina mvuto na kumuweka katika makundi ya wadada wadogo kabisa, anafurahia kwa muonekano huo ambao anahisi hakimbizani na uzee akijiangalia uso wake.

Shamsa Ford

Shamsa Ford akiwa katika pozi.

Shamsa Ford

Shamsa Ford katika ubora wake

Shamsa Ford

Shamsa Ford self yake

“Mpaka rahaa jamani nilikuwa najiangalia katika kioo kumbe uso bado haujakomaa name bado nipo katika kundi la warembo ukiwa na sura isiyokamaa hadi unajidai maana ukikomaa sura inakupoteza,”alisema shamsa.

Shamsa anasema kwa kucheka akiwa yupo katika hali ya utani kwani anaami mwanamke anapokuwa na mwili mnene ni rahisi sana kupoteza nuru na kuonekana tofauti na urembo ambao unatoweka hasa pale uso eti ukikomaa na kuonyesha sura ya kiutu uzima zaidi.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook