Your are here: Home // Habari // IRENE UWOYA NA DOGO JANJA FULL MALAVIDAVI

IRENE UWOYA NA DOGO JANJA FULL MALAVIDAVI

Irene Uwoya

Irene Uwoya muigizaji wa filamu Swahilihood.

MWAKA mpya unaanza na jino la furaha kutoka kwa mwanadada nyota katika tasnia ya filamu Bongo Irene Uwoya ambaye anataka jamii itambue na kuamini kuwa ana amani na furaha akifurahia ndoa yake na msanii mwezake Dogo Janja, moja ya neno lake anasema kuwa kipenzi cha nafsi yake mwanabongofleva huyo apuuze maneno ya watu.

Irene Uwoya

Irene akiwa katika vazi la harusi mwenye furaha.

Irene uwoya

Irene katika pozi la picha .

irene Uwoya, Dogo janja

Irene Uwoya akiwa na mumewe Dogo Janja siku ya harusi.

Irene Uwoya.

Irene Uwoya muigizaji wa filamu Swahilihood.

“Ni siku ambayo nikiziona picha za ndoa yangu na mume wangu huwa na furaha sana na naamini pia hata yeye ana furaha kwani amenipata mke anipendae tumetimiza lengo letu kila mtu kumpata ampendae acha maneno yapite,”alisema Irene Uwoya.

Irene anasema kuwa pamoja na maneno yanajenga mijadala kuhusu uhusiano wao na Dogo Janja jinsi anavyompenda ajuaye ni Mwenyezimungu tu, lakini anataka jamii iamini kuwa ana mapenzi makubwa na msanii huyo kwani anampenda kuliko maelezo kwake ndio faraja yake.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook