Your are here: Home // Habari // JADEN THEGREATEST ATIKISA BONGO KUTIZA MWAKA MMOJA

JADEN THEGREATEST ATIKISA BONGO KUTIZA MWAKA MMOJA

Jaden Vincent kigosi

Jaden akiwa na baba yake Ray

KWELI mtoto wa nyoka hawezi kuwa guluguja, hilo linajionyesha kwa mtoto wa muigizaji nyota Swahilihood Vincent Kigosi ‘Ray’ Jaden kuwa gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kutimiza mwaka mmoja toka kuzaliwa kwake, wazazi wake waliposti picha kwa mara ya kwanza toka kuzaliwa kwake.

Vincent Kigosi, Chuchu Hans

Ray ana Chuchu Hans wakiwa katika pozi.

Jaden Vincent kigosi

Jaden katika pozi la picha

Jaden Vincent Kigosi

Nyota mpya Jaden katika pozi la picha.

Vincent kigosi, Jaden

Baba na mwana Jaden ni Ray

“Ninawashukru sana wadau na wanafamilia wangu kwa kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wangu kipenzi Jaden katika birthday yake nimepata salamu nyingi sana kutoka sehemu mbalimbali kila kona nimefarijika sana,”Ray

Moja kati ya gumzo iliyotawala ilikuwa mtoto huyo amefanana na nani kati ya mama na Baba lakini Jaden ni Ray mtupu amefanana na baba kuliko mama yake tukio ambalo limekuwa na mjadala chanya na kuwapatia wanafamilia hao furaha wakipagawa kwa wadau wao kusahau kabisa siku ya kuzaliwa kwa kijana wao na mashabiki wao kusahau tukio muhimu nakuongelea kuhusu mtoto karandana na nani?.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook