Your are here: Home // Habari // FILAMU YA THE FOUNDATION BADO INAKIMBIZA SOKONI

FILAMU YA THE FOUNDATION BADO INAKIMBIZA SOKONI

The Foundation Film

Filamu ya The Faoundation kutoka Swahilihood.

Leo hii tunakuletea filamu zilizo sokoni zinazoendelea kuuza zikiwa za zamani na mpya, filamu ya The Foundation (Msingi) imetoka muda kidogo lakini inafanya vizuri sokoni, imeongozwa na Jimmy Master. Filamu ya Mwendo wa Mateka ni mpya imeongozwa na Adam Kafuku, nyingine ni Jini Aulat imeongozwa na Obby Kiwango

Jini Aulat Filamu

Filamu ya Jini Aulat ipo sokoni sasa

Mwendo wa Mateka

Filamu ya Mwendo wa Mateka imeingia sokoni

The foundation film

Filamu ya The Foundation inaendelea kufanya vizuri sokoni

1. The Foundation (Msingi)
Washiriki: Sebastian Mwanagulo, Ispekta Seba, Michael Kabogo, Jimmy Master
Muongozaji: Jimmy Mponda ‘Jimmy Master’
Wasambazaji : Mzimuni Theatre Arts
2. Mwendo wa Mateka
Washiriki: Faraji Mhando, Erick Kafuku, Mwaita
Muongozaji: Adam Kafuku
Msambazaji: Mbaba Bongo Movie
3. Jini Aulat
Washiriki: Esha Buheti, Haji Adam ‘Baba Haji’,Samwel Julius
Muongozaji: Obby Kiwango
Msambazaji: Joh Film Entertainment

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook