Your are here: Home // Habari // KATARINA WA KARATU HATAKI KUSIKIA MAISHA YA A TOWN

KATARINA WA KARATU HATAKI KUSIKIA MAISHA YA A TOWN

Rosemary Massawe Urio

Katarina mchekeshaji Bongo.

MCHEKESHAJI wa komedi wa kike Bongo Rosemarry Masawe Urio ‘Katarina wa Karatu’ anasema kuwa huwa ahapendi kabisa kukumbuka maisha ya siku za nyuma akiwa Jijini Arusha kwani kama si ujasiri aliokuwa nao angekuwa ameharibikiwa, pamoja na kuwa na kipaji anasema akiwa na wenzake walipanga chumba kodi 3000 na ilikuwa mbinde.

Rosemarry masawe urio

Katarina wa Karatu akiwa katika pozi.

Rosemarry Masawe Urio

Katarina akiwa katika pozi la picha.

rosemarry massawe urio

Katarina mchekeshaji kutoka swahilihood.

“Huwa sipendi kabisa kukumbuka maisha ya miaka ya 2012 nikiwa Arusha kwani kulala na njaa ilikuwa ni mazoea unatafuta pesa ngumu mihogo ya 200 tu ni shida, nikiwa na rafiki tulishindwa kulipia chumba kwa 3000/ kwa mwezi.

Mchekeshaji huyo wa kike ambaye kwa sasa ana jina kubwa katika uchekeshaji wa jukwaani anasema kuwa baada ya kukutana na meneja wake wa sasa Mc Pilipili, ndio amejua kipawa chake kama ni pesa kwani alikuwa anajua anachekesha tu na akilipwa 10,000 anaona nyingi lakini baada ya kuhamia Dar es salaam amesahau maisha ya kulala na njaa pamoja kipaji chake.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook