Your are here: Home // Habari // MONALISA ANAOMBA UMPIGIE KURA THE AFRICAN PRESTIGIOUS AWARDS

MONALISA ANAOMBA UMPIGIE KURA THE AFRICAN PRESTIGIOUS AWARDS

Yvonne Cherryl

Monalisa muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI mwenye mvuto wa kike wa filamu Bongo Yvonne Cherryl ‘Monalisa, amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo zinazojulikana kwa jina la The African Prestigious Awards akigombea kama muigizaji nyota wa kike wa mwaka (Best Femele Movie Star of the year) tuzo hizo wasanii walioingia wanapatika kwa kupigiwa kura.

Yvonne Cherryl

Monalisa muigizaji wa filamu bongo

Yvonne Cherryl

Monalisa akiwa katika pozi la picha.

“Ninawaomba mashabiki zangu na watanzani wote kwa ujumla kunipigia kura kwa kuingia kwenye www.africanprestigiousawards.com/voting pia kwa maelezo mengine unaweza kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii,”alisema Monalisa.

Monalisa amekuwa ni moja kati ya wasanii ambao mara kadhaa upata bahati ya kuchaguliwa katika tuzo mbalimbali nje ya nchi katika kugombea tuzo za kimataifa za filamu mwenyewe anaamini kwa kuteuliwa na kugombea tuzo kubwa na za kimataifa kama hizo ni sehemu kubwa kwatika kuitangaza tasnia ya filamu Bongo.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook