Your are here: Home // Habari // SIPENDI KUMILIKIWA BILA MKWANJA- RACHEL BITULO

SIPENDI KUMILIKIWA BILA MKWANJA- RACHEL BITULO

Rachel Bitulo

Rachel muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa filamu wa kike Bongo Movie Rachel Bitulo amesema kuwa hapendi mwanaume ambaye ni tegemezi na ana amri kutaka kupata huduma za mwanaume wakati haudumii mke mwenyewe ni bora kuwa na kijana mwenye mapenzi ya kweli hata kama hana fedha kwani inakuwa rahisi kummiliki tofauti na mtu mzima.

Rachel bitulo

Rachel akiwa katika pozi la picha

Rachel Bitulo

Rachel muigizaji wa filamu

Rachel Bitulo

Rachel katika pozi la picha

“Mapenzi yanahitaji kuhudumiwe sasa unakuwa na mwanaume mtu mzima halafu anataka kukumiliki asilimia zote bila kukujali ina maana gani bora kuwa na Kibentin unachokilimiki hawezi kuwa na wivu na wewe kabisa,”alisema Rachel.

Msanii huyo anasema kuwa yeye hana mume kwa sasa kwani hajapata mwanume anayetaka kumuoa mwenye hofu na Mungu kwani wengi wanaangalia au kuhitaji wanaume wenye umri mkubwa kumbe wanaweza kuwa tu sawa na tabia za vijana wadogo huku wakitawaliwa na wivu hawataki wake zao waigize au kufanya kazi zao.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook