Your are here: Home // Habari // KOMEDI IMENIPAISHA BONGO MOVIE- JANNIFER

KOMEDI IMENIPAISHA BONGO MOVIE- JANNIFER

Jennifer Temu

Jennifer Temu muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa kike Bongo Movie Jennifer Temu anabainisha kuwa amekuwepo katika tasnia ya filamu kwa muda mrefu na kushiriki katika sinema nyingi lakini hakuwa na jina kama alivyogeukia komedi na kuona mafanikio katika uigizaji akiwa ameshiriki filamu nyingi kuliko komedi.

Jennifer Temu

Jennifer akiwa katika ;pozi la picha

Jennifer Temu

Jennifer muigizaji wa filamu Swahilihood.

Jennifer Temu

Jennifer katika pozi la picha.

“Nimegundua kuwa komedi inapendwa na kufuatiliwa sana na mashabiki wa filamu Bongo nilipogeukia Komedi tu kila mtu ananijua na nimecheza komedi chache ya kwanza ilikuwa ni komedi ya Mchumba,”alisema Jennifer.

Jennifer anaamini kuwa komedi ndio kazi ambayo kwa sasa imeshika soko la filamu Bongo na kuwa mashabiki wengi wanapenda kufurahishwa na kuzikimbilia tofauti na filamu za kawaida na hiyo ndio sababu ya yeye kujipatia umaarufu kama muigizaji anayefanya vizuri kutokana na kuigiza na wachekeshaji.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook