Your are here: Home // Habari // ZAWADI ZAWADI FC TATU SOKONI WIKI HII KINARA BABU THE PERFECT MAN

ZAWADI ZAWADI FC TATU SOKONI WIKI HII KINARA BABU THE PERFECT MAN

Babu the Perfect

Filamu ya Babu The Perfect Man

SOKO la filamu kutoka Swahilihood linaendelea kupigania nafasi yake huku wadau na wauzaji wa sinema wakisema kuwa zile kazi za zamani bado zina nafasi kubwa sana katika soko hilo, inapotoka filamu mpya inasaidia kuuzwa kwa filamu za kitambo wiki hii filamu ambazo zimeendelea kufanya vizuri ni Jamila na Pete ya Ajabu ikisindikiza filamu mpya namba mbili na tatu.

Babui the Perfect Film

Filamu ya babu The Perfect kutoka swahilihood.

Mikimikiki film

Filamu ya Mikimikiki sokoni wiki hii.

1. Jamila na Pete ya Ajabu
Washiriki: Haji Adam ‘Baba Haji’, Sophia Michael, Benny Branco
Muongozaji: Obby Kiwango & Caymbo Beatus
Wasambazaji : Bongo Movie Out let (B.M.O)

2. Babu The Perfect man
Washiriki: Jacob Mkweche ‘Ringo’, Joseph Issa ‘Onyango’, Maulid Ali ‘Maufundi’
Muongozaji: Kabuti Onyango
Msambazaji: Street Eye Media

3. Mikikimikiki
Washiriki: Salim Tunda, Kipupwe Abdalah, Salma Abbas, Mkono Mkonole
Muongozaji: Kipupwe
Msambazaji: Mbaba Bongo Movie

Hii ni FC Tatu ambayo kila wiki inapitia sokoni na kupata wasaa kuzipata kazi zinazofanya vizuri au mpya kwa kila wiki tukutane tena siku nyingine toa maoni yako kwa kujisajili www.filamucentral.co.tz kama mshirika na zawadi kibao kwa wenye maoni Chanya kuhusu soko la filamu Swahilihood kila mwezi.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook