Your are here: Home // Habari // Bongo na Flava Inapatikana Bure Youtube

Bongo na Flava Inapatikana Bure Youtube

Sinema yenye mastaa kibao wa muziki wa kizazi kipya haswa wale hip hop ama rap sasa imewekwa bure katika mtandao wa youtube na watayarishaji wake. Wakiulizwa je ni kwanini sinema yao hawajaamua kuizua,

“Tumekuwa tukitafuta jinsi gani tunavyoweza kurudisha pesa zetu na pia kuwafikia wapenzi wengi wa filamu na mpaka sasa tumekwama kwahiyo tukaamua kuiweka huku ili kuwaonesha wawekezaji tunaposema sinema nzuri waelewe kuwa tunamaanisha nini, muamko wa watu katika mitandao ya kijamii utatusaidia hapo katika kuelezea soko la filamu” alisema mtayarishaji wa filamu bwana Staford Kihore.

Kwa sasa soko la filamu bado limekuwa na utata mkuwbwa sana bila kuwa na ufumbuzi, swali tunaloliuliza ni je hawa na harakati zao kuna ahueni wataiona?

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook