Your are here: Home // Habari // Tutakuwa Live Facebook Leo

Tutakuwa Live Facebook Leo

FC Online-

Kimya kingi kina mshindo, baada ya kufanya utafiti kwa Muda mrefu mtandao wako mahiri wa habari za Filamu Tanzania wa www.filamucentral.co.tz tunakuletea mjadala na kujibu maswali mengi Je Bongo movie ipo hai au imekufa? Nani muuaji wa tasnia ya Filamu Swahilihood? Uwepo wa Shirikisho la Filamu kuna msaada wowote kwa wadau wa Filamu?! USIKOSE NI IJUMAA HII KUANZIA SAA MOJA JIONI.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook