Your are here: Home // Habari // ACHENI KUIGA SANA BONGO MOVIE- DR. JK

ACHENI KUIGA SANA BONGO MOVIE- DR. JK

Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya M. kikwete alipoongea na wasanii.

RAIS mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete amewaasa wasanii wa filamu kuimarisha zaidi ubora wa filamu za kitanzania na kuachana na kuiga uigizaji na matukio ya sinema kutoka nje kama vile Naijeria na sehemu nyinginezo ambazo zinafanya vizuri katika tasnia ya filamu.

Jakaya Mrisho kikwete

Mheshimiwa Rais msataafu Tanzania

Jakaya Mrisho Kikwete

Dr. JK akiwa ukumbini siku ya tunzo Mlimani city.

Jakya Mrisho Kikwete

Dr. Kikwete Rais wa Jamhuri wa Muungano Tazania mstaafu.

“Napenda sana filamu za Bongo movie kwa sababu zinaenzi Lugha yetu ya Kiswahili lakini tusige sana sinema za Kinaijeria mtu anasonya lakini kwetu kusonya ni matusi watu wanapenda kuigiza maisha yao,”alisema Mh. Dkt. Kikwete.

Dkt. Jakaya pia ameomba wasanii kusaidia katika ukuaji wa Lugha ya Kiswahili kupitia sinema kwa zina mashabiki wengi hivyo ni rahisi ujumbe kufika kwa haraka zaidi kwa jamii, Rais mstaafu alikuwa ni mgeni Rasmi katika utoaji wa Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival zilizofanyika Mlimani City hivi karibuni.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook