Your are here: Home // Habari // NAVAA VIMINI KULINGANA NA MATUKIO- FAIZA KESSY

NAVAA VIMINI KULINGANA NA MATUKIO- FAIZA KESSY

Feiza Kessy

FAIZA KESSY mwigizaji wa filamu Bongo.

MUIGIZAJI na mtangazaji wa Redio Bongo Faiza Kessy amesema kuwa mara nyingi anavaa nguo kulingana na matukio kwa hafla anazokuwa amealikwa si kwamba anapenda sana kuvaa nguo ambazo hazina maadili anazoalikwa na kushiriki lakini kama kuna siku upendeza kwa kuvaa nguo za heshima.

Faiza Kessy

Feiza Kessy mwigizaji wa filamu na mtangazaji

Faiza Kessy

Faiza kessy katika pozi.

“Leo ni siku ya tuzo nimevaa nguo kulingana na tukio lenyewe halihitaji nguo fupi au za kujiachia sana kuna mambo ya Red Carpet nawezaje kuvaa vile vimini vyetu jamanii ,”alisema Faiza Kessy.

Msanii huyo anasema kuwa anajaribu sana kuishi kulingana na alivyojipangia hasa katika suala la mavazi na mambo mengine kwani hawezi kufanya mambo kulingana na matakwa ya watu wanachotaka au kuleta mjadala anapotokea na kuonekana wengi wakitegemea kuvaa nguo za kushitusha.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook