Your are here: Home // Habari // HATA NIKIFA SITAKI TUZO YA HESHIMA – RIYAMA

HATA NIKIFA SITAKI TUZO YA HESHIMA – RIYAMA

Riyama Ali

Riyama Ali msanii wa filamu wa Swahilihood

RIYAMA Ali mwigizaji mahiri wa filamu Bongo ameomba kwa waandaaji wa tuzo endapo siku mwenyezimungu atamchukua hataki kupewa tuzo ya heshima kwa sababu baadhi ya waandaaji wa tuzo huwa na dhamira zao kuwadhalilisha wasanii wasio upande wao na kuwashusha kisanaa.

Riyama Ali

Riyama akiwa katika pozi

Riyama Ali

Riyama Ali msanii wa filamu Swahilihood

“Nimeumia sana kuwekwa kwenye tuzo ambazo sikushirikishwa toka awali tuzo kesho unanipigia simu leo?! Milele hata nikifa nisije nikapewa tuzo ya heshima anayeshindana ndio anayeshindwa mimi sijashindana,”alisema Riyama kwa uchungu.

Riyama anasema kuwa yeye kuna watu ambao wanamwamini katika sanaa na hata alipoingia katika uigizaji hakujua kama anaigiza ili apewe tuzo lakini anasikitika kushirikishwa katika tuzo ambazo hajui hata ni filamu gani ambayo ilimshindanisha nay eye kushindwa na mshindi anaamini ni kampeni ya kumharibia sanaa yake.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook