Your are here: Home // Habari // MANFIZZO AGEUKIA WANAWAKE WENYE FISTULA

MANFIZZO AGEUKIA WANAWAKE WENYE FISTULA

Salum Saleh

Man Fizzo Mwigizaji wa Filamu Swahilihood

MTAYARISHAJI na muigizaji wa filamu Bongo Salum Saleh ManFizo amejikita kutumia filamu zake zijazo kuwa zenye mlengo wa kutoa elimu kwa jamii tofauti na hapo awali msanii huyo tayari amejipanga kubadilika ikiwa ni pamoja na mazingira ya kurekodia sinema hiyo kutoka nje ya Dar es Salaam.

Salum Saleh

Man Fizzo akiongelea jambo katika uzinduzi wa filamu yake ya Siri ya Moyo

Salum Saleh

Man Fizzo katika pozi la picha

“Jinsi unavyokuwa katika tasnia kwa muda mrefu unaona mengi ambayo yanahitajika kutoka kwa mashabiki zako nami nimeona ni wakati wa kutoa elimu kupitia filamu yangu ya Salome,”alisema Man Fizo.

Man Fizo anasema kuwa kuna ugonjwa ambao unawasumbua wanawake lakini mara nyingi mtu anavyotokewa na tatizo hilo moja kwa moja wengi ukimbilia kwa waganga wakienyeji na kupoteza maisha badala ya kwenda hospitali Fistula ni ugonjwa unaotibika.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook