Your are here: Home // Habari // MAPENZI YANAMUUMIZA NISHABEBE

MAPENZI YANAMUUMIZA NISHABEBE

Salma Jabu

Nishabebe mwigizaji wa filamu Swahilihood

MWIGIZAJI wa kike Salma Jabu amefunguka kwa kusema kuwa amejikuta akiumia na kulia katika mahusiano na kubaini kuwa pamoja na wanaume ambao amewahi kudeti nao akiwa na imani kuwa wanaweza kuwa wandani wake, wakimtosa na kumwacha solemba pamoja kuwa kila kitu.

Salma Jabu

Nishabebe katika pozi la picha

Salma Jabu

Nishabebe katika pozi la picha.

“Sitaki tena maisha ya zamani kumpenda mtu nampa mapenzi yako yote na pesa lakini anakutenda inaumiza sana kwa sasa basi kwani nimeamua hadi kuimbia wimbo wa Bachala wajue,”alisema.

Nisha anasema kuwa ametumia sanaa ya uimbaji kwani ujumbe unaenda moja kwa moja kuliko hata filamu kwani kama angetunga filamu kuna watu wasingefikiwa na hisia za maumivu ya moyo wake, hivyo anaamini ni muda wa kuishi pekee yake kama Bachela.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook