Your are here: Home // Habari // IRENE HATAKI DOGO JANJA ATUMIE VIDEO QUEEN

IRENE HATAKI DOGO JANJA ATUMIE VIDEO QUEEN

Irene Uwoya

Irene Uwoya mwigizaji wa filamu Swahilihood

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Irene Uwoya amefunguka kwa kusema kuwa hataki kabisa mumewe Dogo Janja katika muziki wake awatumie wasanii wa kike ambao ni maalum kwa ajili ya kupamba video kama akitaka awatumie ndugu zake lakini si wanawake mahiri kwa ajili ya kazi hiyo.

Irene Uwoya

Irene Uwoya akiwa katika pozi

Irene Uwoya

Irene Uwoya akiwa pozi

Irene Uwoya

Irene akiwa na mumewe Dogo Janja siku ya harusi

“Ni kweli nina wivu sana nisingependa katika video zake atumie mavideo Queen ambao siwajua kama akiishindwa kufanya mwenyewe atumie dada zake au ndugu zangu na si wengine,”alisema Irene Uwoya.

Dogo Janja katika wimbo wake mpya ameigiza kama mwanamke na kuzua gumzo katika video hiyo pamoja na kupambwa kama msichana lakini kwa wale wachambuzi wa masuala ya video kuna kasoro wameiona kwani Dogo Janja anaonekana kama binti mwenye ndevu kama mvulana.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook