Your are here: Home // Habari // TUNA WACHUUZI WA FILAMU ZETU SI WASAMBAZAJI – GABO

TUNA WACHUUZI WA FILAMU ZETU SI WASAMBAZAJI – GABO

Salim Ahmed

Gabo mwigizaji wa filamu Swahilihood

SALIM Ahmed ‘Gabo’ mwigizaji bora wa msimu wote kwa sasa amesema kuwa soko la filamu halikashuka kwa sababu toka anaanza kuigiza moja ya changamoto kubwa ni mfumo wa uuzaji wa filamu Bongo huku akiona kuwa wasambazaji hawakujipanga kufanya biashara hiyo.

Salim Ahmed

Gabo katika pozi

salim ahmed

Gabo mwigizaji wa filamu Swahilihood.

Salim Ahmed

Gabo Zigambo katika pozi.

“Niseme kwamba kila msanii au mdau wa filamu analalamika kuhusu soko la filamu ndani lakini naamini kuwa sisi hatuna wauzaji wa filamu bali tuna wachuuzi wa filamu,”alisema Gabo.

Gabo anasema kwa sababu hakuna wauzaji wa filamu zaidi ya wachuuzi amejikuta akitengeneza filamu na kuziweka ndani tu huku zile fupi akiziweka katika mtandao wake wa Uhondo app na ataendelea kuwa mwigizaji bora asiye na mpinzani kwa sababu kwa sasa wengi hawatengenezi tena sinema hakuna kwa kuuza.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook