Your are here: Home // Habari // DKT. MWAKYEMBE AMTEUA PROF. P.P. NYONI MWENYEKITI BODI YA FILAMU

DKT. MWAKYEMBE AMTEUA PROF. P.P. NYONI MWENYEKITI BODI YA FILAMU

Prof. Prowin Paul Nyoni

PROF. Prowin Nyoni mwenyekiti mpya Bodi ya Filamu Tanzania

WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison G. Mwakyembe kwa mujibu wa sheria ya filamu na michezo ya kuigiza Na. 4 ya mwaka 1976 amemteua Prof. Prowin Paul Nyoni kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Tanzania.

Dr. Harrison Mwakyembe

Dr. H.Mwakyembe waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo

Bishop Hiluka, Dkt. Vicensia Shule

Bishop Hiluka na dkt. Vicensia Shule wajumbe wa Bodi ya Filamu Tanzania

Prof. Prowin P Nyoni

Prof. Prowin Nyoni mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Tanzania

Prof. Prowin Nyoni

Mwenyekiti Bodi ya Filamu

Dkt. Harrison Mwakyembe

Barua ya uteuzi Wajumbe wa Bodi

Aidha Dkt. Harrison Mwekyembe ameteua wajumbe sita (6) wa Bodi hiyo kama ifuatavyo 1. Bw. Kenneth Devis Kasigila 2. Dkt. Viecensia Shule 3. Bi. Anunciatha Leopald 4. Bw. Raymond Kwohelera 5. Bishop John Haule na Bibi Jannifer Mgendi.

Uteuzi huo umeanza rasmi kuanzia tarehe 18. April. 2018 na wataitumikia Bodi kwa miaka mitatu (3).

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook