Your are here: Home // Habari // IRENE PAUL JAMANI RAMMY SI KWA KIKI HIZI

IRENE PAUL JAMANI RAMMY SI KWA KIKI HIZI

Irene Paul

Irene Paul mwigizaji wa filamu Swahilihood

IRENE Paul mwigizaji wa filamu wa kike Bongo ameshitushwa na matukioa ambayo yanaweza kufanywa na wasanii wa Bongo movie wakiwa na lengo la kuwashitua watu wapate kuongelewa kama alivyoona kwa msanii mwezake Rammy Galis baada ya kuzimia msibani.

Rammy Galis, Agnes Gelard

Rammy Galis mwigizaji wa filamu Swahilihood akiwa namarehemu Masogange enzi wa Uhai wake

Daud Michael, idris Sultan, Rammy Galis

Wasanii wakiwa wamembeba Rammy baada ya kuanguka huku kashikilia vitu vyake kwa umakini.

Irene Paul

Irene paul anakataa kuwa Rammy alizimia ba;li alipanga kutafuta kiki msibani.

“Bongo movie behind kuna mambo mengi msiyoyajua mtu anaweza kufanya tukio ukaamini lakini sisi tunayejua hizo ni kiki tu kama alivyofanya Rammy alijiandaa kujiangusha eti kaguswa,”alisema Irene.

Irene anasema kuwa msanii hiyo aliwajiandaa kwa ajili ya tukio hilo na kama angekuwa amezidiwa na kuzimia asingekuwa makini kulinda kitamba chake cha mkononi na simu yake, lakini Rammy mwenyewe amekanusha kuwa hakuzimia bali aliishiwa nguvu kwa sababu ya kusimama muda mrefu.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook