Your are here: Home // Habari // JACK WOLPER KAZALIWA QUEEN HADI KUWA STAR!

JACK WOLPER KAZALIWA QUEEN HADI KUWA STAR!

Jack Wolper

Jack Wolper mwigizaji wa filamu Swahilihood

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Jaqueline Wolper anasema kuwa alizaliwa mrembo na kuwa moja kati ya wanawake nyota ambao wanajua kulinda urembo wao kama alivyo yeye anajiamini kuwa toka umalkia hadi kuwa mtu maarufu anamshukru Mungu ajapoteza kitu.

Jack Wolper

Jack Wolper mwigizaji wa filamu Swahilihood.

Jack Wolper

Super Star Jack Wolper

Jack Wolper

Jack akiwa katika pozi la picha.

“Nimekuja duniani nikiwa Queen mrembo nisiyechuja na nafurahia kuwa star wa Bongo movie naamini kila nionekapo kuna watu roho ulipuka nalinda sana muonekano wangu,”alisema Wolper.

Msanii huyo anasema kuwa kupata umaarufu inaweza kuwa rahisi lakini kudumu kama mtu nyota ni ngumu kwani unahitaji sana kujilinda na mambo mengi ikiwa na masuala ya kashifa, lakini kuna wakati mtu anazidiwa na kujutia kuwa mtu nyota kama haupo makini.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook