Your are here: Home // Habari // KUIGIZA KUNANIPA DILI BONGO MOVIE- NKWABI

KUIGIZA KUNANIPA DILI BONGO MOVIE- NKWABI

NKWABI JUMA

Nkwabi Juma mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI Nkwabi Juma kinara katika tamthilia ya 69 Record iliyotamba sana siku za nyuma na kushiriki katika filamu nyingi amesema kuwa kutokana na muonekano wake na kuonekana katika uigizaji kumemsadia sana kupata kazi nyingi katika matamasha mengi.

Mzee Mkwabi, Nkwabi Juma

Nkwabi Juma akiwa na Mzee Mkwabi mwigizaji wa filamu Swahilihood.

Nkwabi Juma.

Nkwabi Juma akiwa katika pozi

“Naheshimu sanaa sanaa kwani kwa sasa kila ikitokea event na kuitwa kwa ajili ya usalama mapatano yanakuwa rahisi kwani wengi wananifahamu kupitia filamu na tamthilia nyingi nilizoigiza,”alisema Nkwabi

Nkwabi anasema anapenda kuwashauri wasanii wenzake kujiwekezea kazi nyingine kwa ajili ya kutengeneza maslahi zaidi msanii huyu maarufu katika kuongoza ulinzi kwa watu maarufu anasema anaiheshimu tasnia ya filamu kwa sababu imekuwa ikimjenga kila siku.

Nkwabi anaendelea kufanya vizuri na anatarajia kuja filamu kali na ya kusisimua inayoitwa Mtanashati baada ya kutamba na Tatu Chafu, matarajio ya msanii huyo kuwa mtayarishaji wa filamu wa kimataifa kwa siku za usoni.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook