Your are here: Home // Habari // PROINBOX NEEMA KWA WATAYARISHAJI NA WADAU WA FILAMU

PROINBOX NEEMA KWA WATAYARISHAJI NA WADAU WA FILAMU

Proibox film

Proinbox App kwa ajili ya filamu Bongo

NEEMA kubwa imewashukia wadau wa filamu Swahilihood baada ya mfumo mpya wa uuzaji na uonaji wa filamu Rahisi kuangalia sinema kwa kutumia simu kupitia Proinbox sinema popote njia rahisi na bora kutokea Tanzania, mpenzi wa filamu bora anatakiwa kupakua App ya Proinbox.

mfumo wa kisasa wa kuangalia simu kwa bei nafuu wa Proin Box

mfumo wa kisasa wa kuangalia simu kwa bei nafuu wa Proin Box

Proin Box

Proinbox sinema popote

Unaingia Google play ukishapakua utakuwa tayari umekuwa moja kati ya wanufaika wa filamu bora zenye ubora mkubwa kabisa huku ukiweza kupata ofa kabambe kuangalia filamu kwa gharama ya Tshs. 4,000/ tu na filamu zingine ukiziona kwa bure kabisa.

Kwa sasa wale watayarishaji wanaotengeneza filamu zao katika ubora wanaweza kuitumia Proinbox Sinema Popote kama sehemu kuu ya mauzo yao kwani ni jukwaa huru katika kutengeneza maslahi kwa watayarishaji kama sehemu ya chanzo cha mapato badala ya kutegemea Dvd pekee.

Unaweza kujiunga au kutuma kazi zako bora kwa kuwasiliana na wahusika kwa kupiga namba 0716 022 087 upate maelezo zaidi kujua na kuitumia, pia katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani Proinbox inakupa ofa ya kuangalia filamu bora ya Kitendawili kuiona BUREE Usikose kuipakua PROINBOX SINEMA POPOTE.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook