Your are here: Home // Habari // SAMAHANI WADAU FC HATUTAWEZA KUWA NANYI KWA MUDA

SAMAHANI WADAU FC HATUTAWEZA KUWA NANYI KWA MUDA

filamucentral

www.filamucentral.co.tz Mtandao wa habari mahiri wa Tasnia ya Filamu Swahilihood.

WADAU na wapenzi wa mtandao wa www.filamucentral.co.tz hatutaweza kuwaletea habari za tasnia ya filamu kuanzia sasa hadi itakaponeka inabidi kuwepo nanyi, hii inatokana na utaratibu mpya kisheria kupata vibali vya uendeshaji wa shunghuli za kimtandao.

chungu cha Tatu film

Filamu za Kibongo

Grevas kasiga

Mwl. Grevas Kasiga mmoja ya wadau wakubwa kutoka UDOM mfaidika wa mtandao huu.

Filamucentral

Mtandao mahiri wa makala za fialmu www.Filamucentral.co.tz

Poleni sana wanavyuo ambao mmekuwa mkifanya utafiti na kufaulu mitihani yenu kupitia mtandao huu ambao si wa kibiashara, pia wadau na wasanii wa filamu ambao habari zenu utolewa bure katika kutangaza kazi zenu za filamu na uchambuzi wa makala za filamu.

Asanteni uongozi wa Filamucentral unawatakia uwajibikaji mwema katika ujenzi wa taifa tutakutana tena wakati mwingine

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook