Your are here: Home // Habari // HUKU NAKO BONGO FLEVA NI BALAA KAMA BONGO MOVIE– TIKO

HUKU NAKO BONGO FLEVA NI BALAA KAMA BONGO MOVIE– TIKO

Tiko Hassan

Tiko mwigizaji wa Filamu Swahilihood

MWIGIZAJI wa filamu Bongo wa kike Tiko Hassan ambaye pia anaimba kwa sasa amefunguka kwa kusema kuwa awali alifikiria kuhamia katika fani ya uimbaji wa muziki wa Bongo fleva anaweza kutoboa na kutamba kumbe nako kugumu kama kwa upande wa filamu tu.

Tiko Hassan

Tiko akiwa katika pozi

Tiko Hassan

Tiko Mwigizaji wa filamu na muziki Bongo fleva

Tiko Hassan

Tiko katika pozi la picha

“Kumbe Bongo hakuna kitu kinapatikana kirahisi ikiwa mwanamuziki kuna changamoto sana kama upande wa filamu tena huku ndio balaa zaidi kuna mambo mengi sana promo inatakiwa si kitoto,”alisema Tiko.

Msanii huyo anasema kuwa kwa upande wa muziki hali ni ngumu zaidi kwani ukifanikiwa kurekodi wimbo wako inabidi kufanyiwa Video ambayo ni gharama, lakini utafute matamasha kwa ajili ya kutumbuiza ambayo si kazi rahisi kuhangaika usiku kwa ajili ya show nk.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook