Your are here: Home // Habari // SHAMSA FORD HATAKI KUKUMBATIWA!

SHAMSA FORD HATAKI KUKUMBATIWA!

Shamsa Ford

Shamsa Ford mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MSANII wa filamu wa Kike Bongo Shamsa Ford amefuguka kwa kusema kuwa wasanii wanatakiwa kuwa makini kwani si kila rafiki akuonyeshaye anakukubali na kukumbatia usiamini kama ni rafiki mwema kuna wale ambao wanaweza kukumbatia na kukudhulu bila kujua.

Shamsa Ford

Shamsa Ford katika pozi la picha

Shamsa Ford

Shamsa Ford akiwa katika pozi matata

“Wapende na kuwathamini hata wale wanaokuchukia kwa sababu ukiwajua utajua jinsi ya kuwakwepa na kuwa salama kwani si kila akukumbatiaye ni mwema anaweza kukumaliza ukimwamini,”alisema Shamsa.

Shamsa anasema kuwa kuna watu unaweza kuamini kuwa ni marafiki wema na wanakupenda lakini kumbe ndio maadui kwako lakini si rahisi kutambua kwani haujui mawazo yao na unawaamini na kuwapa siri za mipango yako ya kimaendeleo kumbe hawapendi.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook