Your are here: Home // Habari // JIMMY AMCHANA WEMA ANASEMA WASANII UFICHA UMRI

JIMMY AMCHANA WEMA ANASEMA WASANII UFICHA UMRI

Jimmy mafufu


JIMMY mwigizaji wa filamu swahilihood

JIMMY Mafufu mwigizaji wa filamu Bongo amedai kuwa kuna baadhi ya wasanii huwa hawapendi kusema ukweli kuhusu umri wao hadi kuna wakati wanajisahau mtu anasherekea siku ya kuzaliwa miaka baada ya kuongezeka inashuka kila mwaka.

Jimmy Mafufu

Jimmy mwigizaji wa filamu swahilihood

Wema sepetu

Wema sepetu mwigizaji wa Filamu swahilihood

Msanii huyo ambaye upendelea filamu za kibabe amesema kuwa msanii mwanadada Wema Sepetu amewadhalilisha wasanii wa filamu kwa kuposti picha za utupu huku akijua kuwa kufanya hivyo ni kuvunja sharia na kumkosea Mungu wake, anasema wasanii wanadanganya umri lakini hilo halimpi mtu kujifanya mtoto

“Sisi wasanii tumekuwa na tabia ya kudanganya umri mara nyingi ndio maana kuna wakati hata tunafanya mambo ya hovyo tunajiona watoto wadogo kumbe umri umesogea,”alisema Jimmy Mafufu.

Msanii huyo aliyasema hayo wakati akijaribu kuongelea sakata la baadhi ya wasanii wakikumbwa na kashifa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kuposti picha ambazo uleta tafaruku kwa jamii na kuzua mijadala hivyo Mafufu anasema ni hali ya kujiona watoto huku watu wazima.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook