Your are here: Home // Habari // KATIBU TAFF BICCO AWAOMBA WASANII KUWA NA UMOJA

KATIBU TAFF BICCO AWAOMBA WASANII KUWA NA UMOJA

Bicco Mathew

kATIBU TAFF Bicco

KATIBU mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania Mathew Bicco amewataka wasanii wa Tanzania nzima kuwa na umoja ambao utaongoza kupata kile kinachoweza kuikuza tasnia ya filamu Tanzania, na wawe makini katika kujenga tasnia ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Bicoo Mathew

Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bicco

Bicco Mathew

Katibu wa Shirikisho la filamu Swahilihood akiwa katika pozi la picha

“Mwaka huu ni uchaguzi ndania ya shirikisho letu la Taff ni wakati muhimu kuweka viongozi wenye sifa na wapenda maendeleo ili kufanikiwa lazima tuwe na umoja wa kweli,”alisema Bicco.

Bicco aliyaongea hayo kwa wasanii wa filamu wa jiji la Dar es salaam, akiongea na FC katika mahojiano naye pamoja na hayo pia katibu huyo amesisitiza kuhusu ubora wa kazi za filamu katika ushindani na kazi kutoka nje ya mipaka ya Bongo. Ili kufanikiwa hilo ni muhimu kushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa filamu

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook