Your are here: Home // Habari // TANGA NDIO WENYE FILAMU YAO BHANAA- LUCKEY

TANGA NDIO WENYE FILAMU YAO BHANAA- LUCKEY

Luckeyu Luckamo

Luckey Luckamo muigizaji na muongozaji wa Filamu Bongo

LUCKEY Luckamo mwigizaji wa filamu Bongo movie amefunguka kwa kusema kuwa kwa muda alioishi Dar es salaam anajutia kwani alipoamua kurudi Tanga anaona faida ya tasnia ya filamu kwani ameweza kupata maendeleo kisanii kwa muda mfupi.

Lucky Luckamo

Luckey muigizaji wa filamu na muongozaji akiwa katika pozi

Luckey luckamo

Luckey akiwa katika pozi

Luckey Luckamo

Luckey akiwa katika harakati zake za filamu jijini Tanga

“Unapokuwa katika Jiji kama Dar changamoto ni nyingi sana hata ukiwa na wazo nzuri linaweza lakini ukitengeneza filamu inakuwa mbovu lakini nipo hapa nina kundi lenye uwezo,”alisema Luckey.

Msanii huyo anasema hadi sasa tayari ameshatayari filamu nne hadi sasa na zimepokelewa na wapenzi wa filamu jambo linalompatia faraja, na kupitia umahiri wake katika uigizaji atahakikisha Tanga inakuwa ya kwanza kwa kuzalisha kazi bora zenye ushindani, kama ilivyo historia kuwa Tanga ndio waasisi wa Bongo movie.

filed under: Habari

Leave a reply

Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook