Author Archives

FILAMU YA MWALIMU MASEMELE IMEKUJA NA UJUMBE SAFI KWA JAMII

Filamu ya Mwalimu Masemele kutoka bongo FC Movie Preview kuanzia sasa itakuwa ikikuletea uchambuzi wa filamu ili kukupa nafasi kupata undani wa kazi husika kama ilivyo katika kazi yoyote inayofuata uwepo wake kwanza kabla ya kuangalia kazi yetu tutakayoipitia leo ni vema kujua hasa misingi inayojenga ...
filed under: Uchambuzi

MABWANA WA KIKONGO KWA KUSIFIAA – JACK WOLPER!

JACK Wolper msanii wa filamu BongoMUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper ‘Jack’ anasema kuwa amewashitukia wanaume si wakuiwategeemea kwa maisha endelevu kwani unaweza kupotea ukaamini unapendwa kumbe yupo naye kikazi, hivyo akili yake anawekeza katika mambo yake ya kibiashara ni kujitaidi ...
filed under: Habari

UJUZI WANGU UNANILINDA BONGO MOVIE – TINO

Tino muigizaji wa filamu Swahilihood WASWAHILI wanasema shida mgunduzi hasa pale mtu anapoweza kuendeleza maisha yake kwa kuwa na vipaji vingi kama kwa msanii wa filamu Hisany Muya ‘Tino’ kwani anaishi kulingana na msimu au biashara gani inampatia riziki anasema msanii huyo ambaye ana vipaji kama ...
filed under: Habari

KUOLEWA NA KUOA NI UFUNGWA – RAYUU

Rayuu muigizaji wa filamu SwahilihoodMUIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo movie Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amedai kuwa maisha ya ndoa yanahitaji umakini mkubwa sana na kabla ya mtu kuingia katika uhusiano hadi kufikia watu kuoana lazima kuwe na utulivu mkubwa sana kwani moja ya changamoto ...
filed under: Habari

FILAMU KUBWA KUTENGENEZWA NA WANA MOROGORO WENYEWE

Makoti muigizaji wa filamu Swahilihood. Wasanii wa filamu mkoani Morogoro wakiongozwa na msanii kinara wa mkoa huo, Haviti Makoti anayefanya vizuri katika tamthilia ya Jirani inayorushwa na kituo cha ITV wanatarajia kufanya filamu kubwa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kushirikiana wadau mbalimbali na vituo ...
filed under: Habari

KATARINA WA KARATU HATAKI KUSIKIA MAISHA YA A TOWN

Katarina mchekeshaji Bongo.MCHEKESHAJI wa komedi wa kike Bongo Rosemarry Masawe Urio ‘Katarina wa Karatu’ anasema kuwa huwa ahapendi kabisa kukumbuka maisha ya siku za nyuma akiwa Jijini Arusha kwani kama si ujasiri aliokuwa nao angekuwa ameharibikiwa, pamoja na kuwa na kipaji anasema akiwa na wenzake ...
filed under: Habari

MONALISA ANAOMBA UMPIGIE KURA THE AFRICAN PRESTIGIOUS AWARDS

Monalisa muigizaji wa filamu Swahilihood.MUIGIZAJI mwenye mvuto wa kike wa filamu Bongo Yvonne Cherryl ‘Monalisa, amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo zinazojulikana kwa jina la The African Prestigious Awards akigombea kama muigizaji nyota wa kike wa mwaka (Best Femele Movie Star of the ...
filed under: Habari

FILAMU YA THE FOUNDATION BADO INAKIMBIZA SOKONI

Filamu ya The Faoundation kutoka Swahilihood.Leo hii tunakuletea filamu zilizo sokoni zinazoendelea kuuza zikiwa za zamani na mpya, filamu ya The Foundation (Msingi) imetoka muda kidogo lakini inafanya vizuri sokoni, imeongozwa na Jimmy Master. Filamu ya Mwendo wa Mateka ni mpya imeongozwa na Adam Kafuku, ...
filed under: Habari

JADEN THEGREATEST ATIKISA BONGO KUTIZA MWAKA MMOJA

Jaden akiwa na baba yake RayKWELI mtoto wa nyoka hawezi kuwa guluguja, hilo linajionyesha kwa mtoto wa muigizaji nyota Swahilihood Vincent Kigosi ‘Ray’ Jaden kuwa gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kutimiza mwaka mmoja toka kuzaliwa kwake, wazazi wake waliposti picha kwa mara ya kwanza toka ...
filed under: Habari

DKT.MWAKYEMBE ATOA HAMASA WASANII KUMSAIDIA WASTARA

Mh. Dkt. Mwakyembe akiongea na wastaraWAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameomba wasanii na wadau wengine kumchangia msanii wa filamu Tanzania Wastara Juma ili apate fedha za matibabu ya mguu wake ambao unamsumbua kwa sasa, anaamini kwa nafasi waliyo nayo wakijiweka ...
filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook