You are here: Home //
Habari
WASANII WA FILAMU TEMEKE KULAMBA DILI KUBWA – GABO
Gabo Zigamba muigizaji wa Filamu Swsahilihood
MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amefunguka kuwa ni wakati wa wasanii wenye makazi na maisha yao, kulamba dume yaani kupata dili la kushiriki katika filamu fupi na baadae tamthilia, akiongea na FC ...
TEMEKE KUMEKUCHA SASA NI HOOLYWOOD YA BONGO!
Wasanii wa Filamu Temeke wakiwa katika picha ya pamoja
TEMEKE KUMEKUCHA SASA NI HOOLYWOOD YA BONGO!
BAADA ya Wilaya ya Kinondoni kujenga umoja kwa wasanii wa filamu Bongo, sasa Temeke wamekuja na kubwa kuliko mipango kama Hollywood vile, wasanii wanaotokea Wilaya ya Temeke wanaimarisha umoja wao na ...
TANGA NDIO WENYE FILAMU YAO BHANAA- LUCKEY
Luckey Luckamo muigizaji na muongozaji wa Filamu Bongo
LUCKEY Luckamo mwigizaji wa filamu Bongo movie amefunguka kwa kusema kuwa kwa muda alioishi Dar es salaam anajutia kwani alipoamua kurudi Tanga anaona faida ya tasnia ya filamu kwani ameweza kupata maendeleo kisanii kwa muda mfupi.
more…
Read More →
KATIBU TAFF BICCO AWAOMBA WASANII KUWA NA UMOJA
kATIBU TAFF BiccoKATIBU mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania Mathew Bicco amewataka wasanii wa Tanzania nzima kuwa na umoja ambao utaongoza kupata kile kinachoweza kuikuza tasnia ya filamu Tanzania, na wawe makini katika kujenga tasnia ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
more…
Read More →
MARASHI YANGU NI BORA KULIKO!- DAVINA
Davina Mugizaji wa filamu Swahilihood
KAMA ilivyo kwa mastaa wengine duniani kuwa na bidhaa zenye majina yao na sasa limeingia kwa wasanii wetu wa filamu ambapo mwanadada Halima Yahaya ‘Davina’ naye anamiliki marashi yake Davina Perfume, mafuta ambayo anasema yamepokelewa vema.
more…
Read More →
TANGA HAPA NDIPO ILIPOZALIWA BONGO MOVIE
Mmoja kati ya waasisi wa filamu Bongo Amri Bawji
.Unakumbuka Filamu ya SHAMBA KUBWA!
TASNIA ya filamu inayojulikana kwa jina la Bongo movie ilianza rasmi katika Jiji la Tanga wakati huu ikiwa Mkoa tu na si Jiji kama ilivyo sasa, asili ya filamu za kibiashara zilianzia Tanga na kuja kuvuma sana Jijini ...
JIMMY AMCHANA WEMA ANASEMA WASANII UFICHA UMRI
JIMMY mwigizaji wa filamu swahilihoodJIMMY Mafufu mwigizaji wa filamu Bongo amedai kuwa kuna baadhi ya wasanii huwa hawapendi kusema ukweli kuhusu umri wao hadi kuna wakati wanajisahau mtu anasherekea siku ya kuzaliwa miaka baada ya kuongezeka inashuka kila mwaka.
more…
Read More →
MIMI SI MWANASIASA NAPIGA TAFU TU -WASTARA
Stara mwigizaji wa filamuMWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Wastara Juma ‘Stara’ amefunguka kuwa yeye hana mpango wowote kuingia na kugombea cheo kupitia njia ya Siasa kwani hajui ndani ya siasa anaweza kupata nini, lakini anapenda kuwashauri wanasiasa ambao umpa nafasi kuongea nao.
...
SHAMSA FORD HATAKI KUKUMBATIWA!
Shamsa Ford mwigizaji wa filamu Swahilihood.MSANII wa filamu wa Kike Bongo Shamsa Ford amefuguka kwa kusema kuwa wasanii wanatakiwa kuwa makini kwani si kila rafiki akuonyeshaye anakukubali na kukumbatia usiamini kama ni rafiki mwema kuna wale ambao wanaweza kukumbatia na kukudhulu bila kujua.
more…
Read More →
JACK KABIRIGI AMLILIA STEVE NYERERE AMTOE LUPANGO!
Jack Mwigizaji na muongozaji wa filamu Swahilihood.
MUONGOZAJI na mwigizaji wa Filamu Bongo movie Jackson kabirigi ‘Jack’ ameandika barua kutoka mahabusu akiomba msaada wa kutolewa nje baada ya kuwekwa mahabusu kwa kosa la kupoteza vifaa vya studio aliyokabidhi na mmiliki jina lake tunalihifadhi.
...