You are here: Home // Uchambuzi

FILAMU YA MWALIMU MASEMELE IMEKUJA NA UJUMBE SAFI KWA JAMII

Filamu ya Mwalimu Masemele kutoka bongo FC Movie Preview kuanzia sasa itakuwa ikikuletea uchambuzi wa filamu ili kukupa nafasi kupata undani wa kazi husika kama ilivyo katika kazi yoyote inayofuata uwepo wake kwanza kabla ya kuangalia kazi yetu tutakayoipitia leo ni vema kujua hasa misingi inayojenga ...
filed under: Uchambuzi

UCHAMBUZI WA BONGO MOVIE MWAKA 2016 Part 1

King Majuto mwigizaji wa filamu Swahilihood. TAKRIBANI miaka 21 ya Tasnia ya Filamu Tanzania katika ukuaji wake tasnia  imekuwa ikukua kila mwaka na kupata mabadiliko mbalimbali, ndani ya miaka 16 sasa baada ya kuingia katika utayarishaji wa filamu kibiashara kumekuwa na mafanikio na changamoto nyingi, ...
filed under: Habari,Uchambuzi

ASANTE TIMAMU KWA KUNIAMINI- JITU

Jitu mwigizaji wa filamu kutoka Swahilihood.MWIGIZAJI chipukizi anayetishia nafasi za wasanii nyota wenye aina ya uigizaji wa kibabe Hassan Daffur ‘Jitu’ amefunguka kwa kusema kuwa kufika hapo alipo haikuwa rahisi kwani aliuza vitu vingi sana ili kuwasiliana na wasanii wakubwa lakini alikosa nafasi ...
filed under: Uchambuzi

THAMANI YA MSANII NI KULIPWA FEDHA NYINGI AU KUIGIZA SCENE NYINGI?

Van Vicker mwigizaji kutoka Ghana UNAPOKUWA Bongo hasa katika tasnia ya filamu kuna mambo ambayo unaweza kukutana nayo na kichwa kikataka kupasuka, kuna mifumo iliyopo hakuna kokote Ulimwenguni ufuatwa na wasanii wa filamu katika malipo, ni pale msanii anaposhindwa kutambua thamani yake katika malipo.  ...
filed under: Uchambuzi

VIATU VYA KANUMBA VIMEKOSA MVAAJI?

Hayati Steven Kanumba Mtayarishaji na mwigizaji Nyota SwahiliwoodWasambazaji wa filamu wanasema hakuna mauzo tena ya filamu toka kifo cha marehemu Steven Kanumba, wanalalamika kuwa mauzo yameshuka sana hadi hata wengine kuachana na biashara hiyo na kuamua kufanya biashara nyingine zinazowalipa. Inawezekana ...
filed under: Habari,Uchambuzi

WASANII BONGO TUMIENI FURSA YA ZIFF KUJIFUNZA

Mkurugenzi wa ZIFF Prof. Martin Mhando akiwa na mdhamini wa Zuku Tamasha kubwa la filamu nchi za Majahazi Zanzibar Internation Film Festival (ZIFF), katika kuazimisha tamasha la 17 ambalo linatarajia kufanyika tarehe 14 June 2014, Zanzibar ni tamasha ambalo limezidi kupata mafanikio kwa kuwa kiungo cha ...
filed under: Habari,Uchambuzi

USAMBAZAJI MBOVU WA FILAMU BONGO

Ungo moja ya filamu Swahiliwood. Tasnia ya filamu kwa Tanzania kila siku uzalishaji unazidi kuchukua kasi, huku watengenezaji wa filamu wakijitahidi kuibuka na vifaa vipya kila siku, lakini jambo moja tu ambalo limeshindika au hakuna mtu ambaye ameliona na kulifanyia kazi ni utafutaji wa Masoko na matangazo(Marketing ...
filed under: Uchambuzi

Filamu ya Apple iliyoenda mbele kuliko wakati uliopo

Filamu ya Apple ya kitanzania. KATIKA uchambuzi wetu leo tunaichambua filamu ya Apple iliyoandaliwa na mwanadada Irene Uwoya na kuwashirikisha wasanii nyota wanaotamba kwenye tasnia ya filamu Bongo, moja ya changamoto katika filamu hiyo ni hadithi iliyotungwa na Irene Uwoya na kuandikwa na Ali Yakuti. Filamu ...
filed under: Uchambuzi
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook