UMRI WANGU NI WA KUKIMBIA NITAWAKIMBIZA SANA- IBRAH

Ibrahim Osward

Ibrah muigizaji wa filamu Swahilihood

MUIGIZAJI bora wa kiume wa filamu katika tamasha la filamu Zanzibar International Film Festival (ZIFF) Ibrahim Osward ‘Ibrah’ kupitia filamu ya Tunu ametamba kuwa ana nafasi kubwa sana kuzoa tuzo nyingi kulingana na umri wake mdogo kwani wote waliowahi kuchukua tuzo hiyo hawakuwa na umri kama wake.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA INNER STRUGGLE KURUKA ZIFF, KUGAIWA BURE

Eva Lundgren

Eva Lundgren mtayarishaji wa Filamu Swahilihood

FILAMU ya The Inner struggle inatarajia kuonyeshwa katika tamasha kubwa la filamu Afrika ya Mashariki la Zanzibar International Film Festival (ZIFF) sinema hiyo ambayo imetengenezwa hapa nchini ikielezea maisha ya watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albinisim).
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA NYAMA YA ULIMI KURUKA BONGO MOVIE NIGHT SINEMA 29.JUNE.2017!

bongo movie night

Bongo Movie Night kuja Alhamisi hii

LILE onyesho kubwa na la kipekee kufanyika Swahilihood la Bongo Movie Night linalofanyika siku ya Alhamisi tarehe 29. June. 2017 katika ukumbi wa BASATA Ilala Shariff shamba litarusha sinema ya Nyama ya Ulimi kutoka Mkoani Shinyanga iliyotayarishwa na Songoro Gadaff
. (more…)

filed under: Habari

IRENE UWOYA AFUTURISHA KISTAA FUTARI DRAFT LAKE SI MCHEZO!

Irene Uwoya, Idrisa Makupa

Idrisa akiwa na Irene Uwoya wasanii wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu wiki iliyopita aliwakaribisha mastaa wa Bongo movie na Bongo fleva katika futari nyumbani kwake chungu cha 28 na kujumuika nao pamoja katika futari hiyo ya kiwango ambayo imefurahiwa na wageni waalikwa ambao ni wasanii wenzake.
(more…)

filed under: Habari

WAKONTA ATUNUKIWA UANACHAMA CHAMA CHA TASA LEO!

Wakonta kapunda

Wakonta mwandishi wa muswada Swahilihood.

MWANADISHI wa muswada Tanzania mwenye kipaji cha kipekee nchini Wakonta Kapunda ametunukiwa uanachama katika chama waandishi wa muswada (TASA) leo nyumbani kwao Mbezi Louis na kuwa ni mwanachama katika chama hicho kuanzia leo, aliyemkabidhi ni mwenyekiti Ahmad Hussein.
(more…)

filed under: Habari

TAMTHILIA YA JIRANI HAPASHIKIKI BONGO JUMAPILI HII!

Jirani

Tamthilia ya Jirani kuruka ITV

TAMTHILIA kubwa ya Jirani iliyoandaliwa na kampuni ya 5 Effects Movie Ltd ya jijini Dar es salaam, imepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa filamu Swahilihood kufuatia matangazo yake yanayoruka kwenye mitandao ya kijamii na kuwa gumzo kwa kila mpenzi wa tamthilia
. (more…)

filed under: Habari

GABO ZIGAMBA AZINDUA YAKE FILAMU FUPI YA KISOGO LEO DAR

Salim Ahmed

Gabo mwigizaji wa Filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI nyota wa filamu Swahilihood Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amezindua filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Kisogo ambayo inaonekana katika Mobile App Uhondo, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo na kuhudhuliwa na wanahabari mbalimbali na kuweza kushuhudia filamu hiyo.
(more…)

filed under: Habari

UNCLE CHRISS MHENGA CHIMBUKO BONGO MOVIE SWAHILIHOOD sehemu ya 2

Chrissant Mhenga

Mhenga mtayarishaji wa Tamthilia Swahilihood.

Inaendelea ilipoishia …..
Na bado anaamini kuwa makundi ndio kila kitu kuliko kumchukua msanii moja huku mwingine kule kwani kila mtu anavyokuja anakuja kwa ajiili ya kazi hiyo tu hana muda wa kumsikiliza mtayarishaji au muongozaji vitu vingine vya ziada, watarekodi na kusambaratika hadi kazi nyingine. (more…)

filed under: Habari

UNCLE CHRISS MHENGA CHIMBUKO BONGO MOVIE SWAHILIHOOD sehemu ya 1

Chrissant Mhenga

CHRISS MHENGA Muasisi na muongozaji wa kundi la Kaole Sanaa Group.

UNAPOONGELEA tasnia ya filamu Bongo ni lazima uanzie kwenye michezo ya kuigiza kwani wanaong’ara na kufanya vizuri asilimia kubwa walikuwa ni waigizaji kutoka katika kundi la Kaole Sanaa Group, lakini si wengi ambao wanamtambua muasisi na mzalishaji wa vipaji hivyo huyu si mwingine ni Chrissant Mhenga.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA KISOGO YA GABO KURUKA DUNIA NZIMA

Salim Ahmed

Gabo Mwigizaji wa filamu Swahilihood.

FILAMU ya Kisogo ya mwuigizaji nyota Bongo imekamilika na inatarajia kuonekana Dunia kote kwa njia ya kisasa kabisa akiongea na FC Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ anasema kuwa sinema ya Kisogo imetengenezwa katika teknolojia ya kimataifa na hivyo itaweza kubadilisha soko la filamu Bongo na kuweza kufika katika anga za kimataifa kwani ni kazi yenye mvuto na hadithi ya kusisimua huku akijivuani washiriki wa sinema hiyo ya Kisogo. (more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook