AMANDA HATISHIKI NA MANENO YA WATU HAUMWI NI MAZOEZI TU!

Amanda Poshy

Amanda mwigizaji wa filamu Swahilihood .

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Amanda Poshi amefunguka kwa kusema yupo salama kabisa kiafya wala hana tatizo lolote kutokana na muonekano wake kupungua kwake kutokana na mazoezi anayofanya kwa ajili ya afya yake anashangaa wale ambao wanamshangaa kupungua mwili wake. (more…)

filed under: Habari

WASANII WAKONGWE WAMETUHARIBIA- SHIFFER

Sharifa Mansoor

Shiffer Mwigizaji wa filamu Swahilihood

MWIGIZAJI chipukizi kutoka tamthilia ya Siri za familia Sharifa Mansoor ‘Shiffer’ amesema kuwa uigizaji ni kazi sawa na kazi nyingine lakini walioanza walitumia fursa yao vibaya kwa kufanya mambo yasiyofaa kujikita katika masuala ya kashifa kitu kilichopelekea jamii kudharau fani hiyo. (more…)

filed under: Habari

BONGO MOVIE FULL KUTISHANA TICO ATUMIWA SMS ZA MIKWARA

Timoth Conrad

Tico mtayarishaji wa filamu Swahilihood

KUFUATIA kuyumba kwa soko la filamu na kufanyika kwa mikakati mbalimbali ya kutafuta suruhu la kuokoa soko hilo lilopotezwa na filamu za nje, sasa wasanii na watayarishaji wameanza kutishana wao kwa wao ikiwa kuambiana watafapotezana katika tasnia ya filamu. (more…)

filed under: Habari

NATAKA MUME ATAYENISIKILIZA SITAKI MAPEPE- SONNATA

Sonnata Nduka

Sonnata Nduka mwigizaji wa filamu Swahilihood

SONNATA Nduka mwigizaji wa filamu na mhariri wa filamu Bongo amedai kuwa moja ya sababu inayomfanya achelewe kuingia katika ndoa ni kupata mume ambaye atakuwa anamsikiliza kufanya kazi zake bila kuingiliwa kwa kuzuiwa au kupangiwa muda kufanya kazi yake ya uigizaji .
(more…)

filed under: Habari

SERIKALI HAIJAZUI FILAMU KUTOKA NJE- KATIBU

wasanii Kariakoo

Wasanii wakiandamana kuelekea Kariakoo

KATIBU Mtendaji wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza Tanzania Bi. Joyce Fissoo amesema kuwa Serikali kupitia Bodi ya Filamu ambayo kwa mujibu wa sheria ndio msimamizi na mkaguzi wa filamu haijazuia filamu kutoka nje kuingia nchini bali zinatakiwa zifuate utaratibu uliowekwa kisheria.
(more…)

filed under: Habari

ANTU MANDOZA MSOMI MWENYE BAHATI KUIGIZA FILAMU KUBWA YA KIUMENI

Antu Mandoza

Antu Mandoza mwigizaji wa filamu Swahilihood

.Apania kutwaa Tuzo za Oscar kama Lupita

BONGO movie huwezi kupata bahati ya kuingia moja kwa moja na kupewa thamana kuingiza kama mwigizaji kinara, ni mamisi tu ndio wenye bahati hiyo lakini mwingine lazima asote, kwa Antu Mandoza ‘Miss Mandoza’ mwigizaji kinara katika filamu ya Kiumeni ni tofauti, yeye sinema yake ya kwanza anapewa nafasi ya mhusika mkuu.
(more…)

filed under: Habari

SI MCHINA NI UMBO LANGU – SASHA

Sophia Salim

Sasha mwigizaji wa Filamu Swahillhood.

MWIGIZAJI chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo Sophia Salim ‘Sasha’ mwenye umbo la Kibantu amesema kuwa ni umbile lake na hajui wala hajawahi kutumia dawa za Kichina kama vile ambavyo wengine wanadaiwa kufanya kitu hicho yeye amezaliwa hivyo na anajivunia kuwa hivyo.
(more…)

filed under: Habari

YUSUF MLELA AMWITA NAY WA MITEGO CHOKORAA

Yusuf Mlela

Yusuf Mlela mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI wa filamu Bongo Yusuf Mlela amemshukia msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Barik ‘Nay wa Mitego’ kwa kumueleza si kila tukio lazima ajitokeze kwa ajili ya kujipatia umaarufu kwani wote ni wasanii ambao wanahitaji kutetea haki zao kwa pamoja japo wameanza watu wa filamu.
(more…)

filed under: Habari

SISI CHIPUKIZI TUNAPIGWA VITA NA WAKONGWE BONGO MOVIE – QUEEN DRAMA

Happy Joshua

Queen Drama mwigizaji wa Filamu Swahilihood

MSANII chipukizi Bongo movie Happy Joshua ‘Queen drama’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii chipukizi wanachangamoto nyingi sana katika tasnia ya filamu kwani kwanza wanasumbuliwa na waongozaji lakini baya zaidi kuliko yote ni pale wanapopigwa vita na wasanii nyota.
(more…)

filed under: Habari

NINGEKUWA CHIZI KUACHA KUIGIZA FILAMU YA KUMEKUCHA ‘TUNU’ – JB

Jacob Stephen

JB akiwa na waandishi wa Habari katika uzinduzi wa filamu ya Tunu

MWIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu Jacob Stephen ‘JB’ amekana yale maneno yake ambayo siku za nyuma aliwahi kutangaza kuwa anaachana na kazi za uigizaji na kujikita katika kuzalisha vipaji vipya na kuwa mtayarishaji hilo linakuja baada kuigiza katika filamu ya Kumekucha.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook