MPANGO WA SERIKALI KWA WASANII NI MAZINGAOMBWE!

Yvonne Cherryl

Monalisa mmoja wa wasanii wakubwa wa filamu Swahiliwood.

WAKATI Bajeti ya Wizara ya Fedha ikisomwa na Waziri Dkt. William A. Mgimwa Bungeni iligusia kuhusu kazi za Wasanii tena ikionyesha kutambua jinsi gani wasanii na wadau wote wanaofanya kazi halali wanavyoibiwa kazi zao na kubaki maskini huku watu wengine wakifaidika na jasho la wasanii hao, binafsi naungana na mwandishi wa makala haya Ignas Mkindi KWA HABARI NA PICHA ZAIDI INGIA NDANI…..
(more…)

filed under: Habari

INJINIA APATIKANA KWA MBINDE NI MWANANCHI WA KAWAIDA.

Castro Dickson

Castro Dickson mhusika mkuu katika filamu ya Injinia kutoka Swahiliwood.

ILE kazi ya kumpata mhusika mkuu katika filamu kali na y a kisasa ya Injinia amepatikana baada ya kundi la Papa Zi kuhangaika kwa muda mrefu ili kumpata msanii aliyekuwa na sifa za Injinia, akiongea na FC gwiji la habari za filamu Swahiliwood muongozaji msaidizi wa filamu hiyo Leah Richard Mwendaseke amesema kuwa ilikuwa rahisi kuwapata wasanii wengine lakini kwa huyo Injia ilikuwa shida.

(more…)

filed under: Habari

KUREKODI BILA KUINGIA SOKONI NI BURE- MARIA.

Maria Charles

Maria Mwigizaji wa filamu na vichekesho Swahiliwood.

MSANII Chipukizi katika tasnia ya filamu na vichekesho Swahiliwood Maria Charles ameilalamikia kampuni ya Al Riyamy Production ya jijini Dar es Salaam kwa kuwafanyisha kazi nyingi na kuzifungia ndani kisha kutoa filamu chache huku wasanii wakiwa wameshiriki kuigiza filamu nyingi lakini hazipelekwi sokoni hadi bosi akijisikia.
(more…)

filed under: Habari

HADITHI ZA KIDINI NI NGUMU SANA- ‘CLOUD 112’.

Issa Mussa Said Mangushi

Cloud 112 Muongozaji na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood akiwa na mpiga

MUONGOZAJI mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood Issa Mussa ‘Cloud 112’ anasema kuwa kuandaa filamu inayohusu hadithi za dini ni ngumu sana, msanii huyo amedai kuwa katika filamu zote alizowahi kuigiza hajawahi kupongezwa kama anaovyopongezwa katika filamu yake mpya ya Toba filamu ya Toba imeelezea mambo ya kidini.
(more…)

filed under: Habari

TUZO NI MUHIMU KATIKA FILAMU- IRENE UWOYA.

Irene Uwoya

Irene Uwoya mwigizaji wa filamu Swahiliwood.

MWIGIZAJI Nyota wa filamu Swahiliwood Irene Uwoya anaamini kuwa uwepo wa tuzo katika tasnia ya filamu inaweza kuleta chachu kwa waigizaji na watayarishaji kwa ujumla jambo ambalo limekuwa halifanyiki kwa muda mrefu pamoja na kuwa na ongezeko la uzalishaji wa filamu kwa kiwango cha juu, mara nyingi kumekuwa na watayarishaji wa tuzo hizo lakini wamekuwa wakikumbana na vikwazo kutoka katika taasisi mbalimbali.
(more…)

filed under: Habari

NEY WA MITEGO AWASHUKIA BONGO MOVIE.

Emmanuel Elbariki

Ney wa Mitego msanii wa Bongo fleva anayewashutumu wasanii wa filamu Swahiliwood.

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva Emmanuel Elbariki ‘Ney wa Mitego’ amewashukia wasanii wanaounda kundi la Bongo Movie Stars Swahiliwood kwa kusema kuwa wameshindwa kutengeneza filamu zenye ujumbe na badala yake wanatumia filamu hizo kwa ajili ya kuuza sura tu na akina dada kupata njia ya kujiuza kupitia filamu hizo, lakini hakuna filamu zenye viwango vya kuridhisha.
(more…)

filed under: Habari

GWIJI LA FILAMU MARIO VAN PEEBLES KUTUA ZIFF.

Mario Van Peebles

Mario Van Peebles Gwiji la filamu Hollywood anayekuja tamasha la ZIFF.

GWIJI la utengenezaji wa filamu Hollywood Mario Van Peebles anatarajia kuwa ni mmoja kati ya watengenezaji wakubwa wa filamu ambao wanatarajia kushiriki katika tamasha kubwa la filamu la Zanzibar International Film Festival (ZIFF) mtengeneza filamu huyo ujio wake ni faraja na faida kwa wasanii wa Swahiliwood tamasha la 15 kufanyika.
(more…)

filed under: Habari

SOKONI WIKI HII YUPO KING MAJUTO.

Amri Athuman

King Majuto gwiji la vichekesho Swahiliwood.

KATIKA Soko la filamu Swahiliwood wiki hii filamu zilizoingia sokoni kwa siku ya Ijumaa ni Geti Kali ambayo ni komedi inayowashirikisha wasanii kama Asha Boko, Mtanga, Gobogobo na Alex Machojo komedi hiyo imesambazwa na kampuni ya G Power komedi hiyo ipo dukani na inaendelea kufanya vizuri HABARI ZAIDI INGIA NDANI….
(more…)

filed under: Habari

RICHIE KUZINDUA FILAMU YAKE MERERANI.

Jaqueline Wolper, Single Mtambalike, Adam Kuambina

Picha za wasanii wa Filamu ya Chaguo langu kutoka Swahiliwood.

BAADA ya uzinduzi wa filamu ya Toba ya mwigizaji mahiri wa filamu Swahiliwood Issa Mussa ‘Cloud 112, kufanyika kwa mafanikio huko Zanzibar na kukusanya wapenzi wa tasnia ya filamu zoezi hilo limevutia watayarishaji wengine, sasa ni zamu ya msanii mkongwe katika tasnia ya filamu na maigizo Swahiliwood Single Mtambalike aka Richie richie anazindua filamu yake ya Chaguo langu huko Mererani.
(more…)

filed under: Habari

AISHA KAMBONGO ATIKISA KIDUCHU FILMS.

Aisha Kambongo

Aisha Kambongo msanii chipukizi Swahiliwood.

KATIKA Usaili wa kutafuta wasanii wenye vipaji watakaoshiriki katika filamu fupi fupi zinajulikana kama Kiduchu Films kazi inayoandaliwa na kampuni ya A TOK ya jijini Dar es Salaam, kulikuwa na mambo ya kufurahisha sana kutoka kwa wasanii au washiriki waliofika katika tukio hilo, lakini pia kuna wasanii walikuwa kivutio KWA HABARI ZAIDI NA PICHA INGIA NDANI….
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook