FILAMU YA CHUNGU KUZINDULIWA KESHO ZIFF.

Filamu ya chungu

Filamu ya Chungu inayozinduliwa kesho ZIFF kutoka Swahiliwood.

FILAMU kali na ya kusisimua ya Chungu inatarajiwa kuzinduliwa kesho tarehe 14. Julay. 2012 kwa kuonyeshwa katika tamasha la filamu Nchi za Majahazi (ZIFF) linaloendelea hivi sasa, filamu hiyo kutoka Swahiliwood ni filamu ya kipekee iliyorekodiwa huko Bumbuli Jijini Tanga, filamu ya Chungu imeandaliwa na mtengenezaji filamu wa kimataifa Dr. Vincensia Shule.
(more…)

filed under: Habari

JENIFER AWAASA WAZAZI KUWA MAKINI NA WATOTO.

HanifaDaudi

Jenifer msanii mtoto katika tasnia ya filamu Swahiliwood.

MWIGIZAJI mtoto mahiri katika tasnia ya filamu Swahiliwood Jenifa Daudi ‘Jenifer’ amesema kuwa kuna baadhi ya filamu zinazotengenezwa hapa nyumbani hazistaili kuangaliwa na watoto hata kushiriki kuigiza kwa sababu zinapotosha watoto kulingana na vitu vinavyoonyeshwa katika filamu hizo, akisema kuwa filamu hizo ni za kikubwa sana.
(more…)

filed under: Habari

MIMI SI MKONGO NI MBONGO – BAMBUCHA.

Omary Saida

Bambucha mwigizaji wa filamu Swahiliwood ambaye anafananishwa na Wakongo..

MWIGIZAJI wa filamu Swahiliwood Omary Said ‘Bambucha’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni Raia wa Tanzania na si Mkongo kama ambavyo wengi wanaamini hivyo, msanii huyo mwenye muonekano kama chotara aliyasema hayo alipokuwa akirekodi filamu ya Tri angle na kuzuka mjadala kuwa Bambucha ni mkimbizi kutoka Jamhuri ya Demokraisia ya Kongo.
(more…)

filed under: Habari

NGUMI ZA WEMA SEPETU NA JACK WOLPER Dah,,,.

Wema Sepetu Jaqueline Wolper

Nyota wa filamu Swahiliwood Wema Sepetu na Jack Wolper wakiwa ulingoni.

NYOTA wa tasnia ya filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper na Wema Sepetu juzi kati waliandika historia kwa kupanda jukwaani kwa kuvaa Glovus na bukta kwa ajili ya kuzipiga ndondi wakiwa chini ya usimamizi wa makocha wao ambao ni mabondia wa siku nyingi, Jack alikuwa chini ya Bondia Maneno Osward aka Mtambo wa Gongo huku Wema akifuliwa na Rashid Matumla ‘Snake’.
(more…)

filed under: Habari

MIMI SI MKATA VIUNO VYA BURE – SHILOLE .

Zuwena Mohamed

Shilole mkali wa filamu na muziki Swahiliwood.

MWANADADA mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa baada ya kujiongezea fani nyingine ya uimbaji na kufanya vizuri ni kama kafungua njia kila mwigizaji wa kike anataka kuimba japo hawana uwezo huo, anasema kuwa wanapoona Shilole anakataa viuno wanajua kuwa kila msanii atakata viuno tu na kuwa mwanamuziki mkali.
(more…)

filed under: Habari

NDOA ZA WASANII NI PASUA KICHWA – BEN BLANCO.

Abdul Ahmed

Ben Blanco mwigizaji wa filamu Sawhiliwood.

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Swahiliwood Abdul Ahmed ‘Ben Blanco’ amesema kuwa alishindwa kuoa mwanamke ambaye ni msanii mwenzake kwa sababu ya tabia na maisha ya kisanii ambayo si rahisi kudumu katika ndoa hiyo kwani mara nyingi kila mtu anakuwa anajua mbinu za mwenzake jambo ambalo uvunja ndoa za wasanii wengi.
(more…)

filed under: Habari

NAPENDA KUIMBA MUZIKI WA HIP HOP- BADRA.

Latifa Idabu

Badra mkali wa filamu Swahiliwood na anaimba muziki wa Hip hop.

MWIGIZAJI wa filamu Swahiliwood Latifa Idabu ‘Badra’ ameamua kufungua kipaji chake kwa upande wake mwingine katika kuimba na tayari amefanikiwa kurekodi wimbo alioupa jina la Twende sawa Badra ameiambia FC kuwa yeye toka awali alikuwa akiimba lakini kutokana na mazingira ya kidini nyumbani kwao alishindwa kuimba kutokana na staili yake ya uimbaji.
(more…)

filed under: Habari

ISIKE MTAYARISHAJI MKALI WA FILAMU.

Isike J. Samwel

Isike Mtayarishaji wa filamu mdogo mwenye kipaji Swahiliwood.

KAMA ni tuzo ya kupatiwa mtayarishaji mdogo kuliko wote na ana filamu nyingi zawadi hiyo ingekwenda moja kwa moja kwa Isike J. Samwel kijana mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood Isike alianza kuandaa filamu yake ya kwanza kabisa akiwa katika umri wa chini ya miaka kumi nane wakati huo alikuwa kidato cha pili .
(more…)

filed under: Habari

MONALISA HANA HARAKA.

Yvonne Cherryl

Monalisa mtayarishaji na mwigizaji bora wa filamu Swahiliwood.

MWANADADA mahiri katika uigizaji tasnia ya filamu Swahiliwood Yvonne Cherryl ‘Monalisa’ amesema kuwa anatumia muda mwingi kusoma soko la filamu na kupunguza kushiriki filamu kila mara jambo ambalo linamfanya aendelee kuwa bora kwa kipindi chote kwani wakati wasanii wengine wakishiriki filamu nyingi kwa mwaka lakini yeye ni agharabu kuigiza hata filamu tano kwa mwaka.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU PEKEE HAILIPI- KENNEDY.

Keneth Victor

Kennedy mwigizaji wa filamu Swahiliwood.

MWINGIZAJI wa filamu Swahiliwood Keneth Victor ‘Kenned’ amesema kuwa kwa muda ambao amekuwepo katika tasnia ya filamu amegundua kuwa kutegemea sanaa ya uigizaji wa filamu pekee haulipi kwa maisha ya sasa, jambo ambalo angependa kuwashauri wasanii wenzake ni kujishughurisha na kazi nyingine au hata biashara kama anavyofanya yeye.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook